TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1.
Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji.
Usiku mwema.
======
Updates:
Jini limeamua mchezo.
Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara...
Yani roho inaniuma sana tangu wiki iliyopita napata shida ya kuingia mtandaoni bure dah!
Nilikuwa nimeshazoea mseleleko japo internet yenyewe ilikuwa mwendo wa Kobe lkn ilinisevu sana kuingia bure YouTube, JF na Instagram tangu 2021.
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia.
Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
Weekend Imekuwa ndefu
Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao
Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa
Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu
Basi me nikapita nikaenda zangu...
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha
Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
Habari wakuu,
Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo.
Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua...
Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili ilikuwa iwe mwezi wa tatu lakini alichelewa akanilipa mwezi wa tano. Na malipo ya mwisho alitakiwa...
Imetokea mbeya asubuhi hii
Watu watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya premier na capricorn ajali imetokea Kata ya Ilomba jijini Mbeya
Kwa Mujibu wa Mkaguzi wa jeshi la zimamoto na Uokoaji Musa Meshack Nyagali amesema kuwa Jeshi hilo limefanikiwa kuwaokoa...
Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.
Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.
Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont...
Usijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu
Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu
Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize
Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu.
Matajiri...
Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto.
Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni.
Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years"
Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran.
Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya magaidi wa waislamu.
=================
The New York Times says that Israel has worked since the...
Kuna siri kubwa sana kwenye kifo.. Kifo ni fumbo lisilo na majibu mpaka leo hii
M'miss mtu aliye hai lakini yuko mbali nawe! Huyu mnaweza kuja kuonana lakini sio mfu.. Ambapo kwa baadhi ya imani tutakuja kuonana nao huko huu mbinguni siku ya kiama..tena si katika mwili huu wa damu tena!
Hakuna...
Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana.
Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi.
GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
Huyu mmh anaipenda sana simba
Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom
April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi
Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba
Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...