tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FALSE Je? ni kweli museveni amesema " nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031 lakini sioni kuendeleza maono yangu.

    Kumekuwa na chapisho linalosambazwa katika mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, likiwa na nukuu inayodaiwa kutolewa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Nukuu hiyo inasema kuwa “Nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031, lakini hadi sasa sioni mtu anayeweza kuendeleza...
  2. JamiiForums Tanzania Kipa atatupa sare nyingi sana, kwa huyu straika ni bora Mstaafu John Bocco arudishwe tena kikosini

    Simba ina watu kama si wajuaji kupitiliza basi ni wazembe sana... kuna vitu kwenye mpira vinaonekana wazi na havihitaji kuwa na degree ya sayansi ya mpira wala kuwa kocha. Msimu wa 2024/25 wakati unatamatika kipindi kile kila mtu aliona kuwa genge la Mutale na nduguze kwenye safu ya kiungo...
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena, kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri

    Habari wakuu Mimi si mnazi, Wala Sina DNA za siasa ila naamini kabisa Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri🙌🙌💔 Wengine watakuja na hoja Vipi kuhusu Nyerere?! Ila ikitokea Nyerere kafufuka basi atashangazwa na maendeleo tuliyonayo Leo kama taifa...
  4. JamiiForums Tanzania Amenaswa na maneno ya kinywa chake mwenyewe; Asema - Zanzibar hakuna "aliyenyukuliwa". Watanganyika "Tulinyukuliwa" kwelikweli...!!

    ================= Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake... Na hii ndiyo maana yake... NYUKUA: Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya, kunyofoa, au kung'oa kwa ghafla kwa kutumia vidole, na kitu chenye ncha kali: Mnyambuliko wa Maana na...
  5. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye maisha silalamiki wala kulialia na mtu tena nitatatua matatizo yangu mwenyewe

    Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe. Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
  6. JamiiForums Tanzania Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote

    Ndio hivyo tena, tumeikosa. Dangote ameiambia BBC, ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika mji wa Lamu nchini Kenya utaanza Oktoba 2026. Ujenzi utagharimu Dola za Kimarekani bilioni 15.5 badala ya bilioni 20 zilizotajwa awali. Upungufu wa gharama umetokana na uzoefu wa kujenga kiwanda...
  7. JamiiForums Tanzania Hii michango ya harusi laki moja mnayoweka kwenye kadi tena bila option ya kuchagua ya size yako tutaonana wabaya aisee

    MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k Laki moja imekuwa sasa kama trend. Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu Hivi haya yootee ya nini, jamani, Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunda gani ulikuwa unalitamani kutokana na kusifiwa ila baada ya kulionja hulitaki tena?

    Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo. Nikawa natamani sana kulionja, ila siku niliyolionja nikasema chaaa nini hiki, sitaki hata kulisikia tena...
  9. O

    JamiiForums Kenya Mashabiki Wa Man United wawadhalilisha Mashabiki wa Arsenal Tena!

    Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo. Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
  11. JamiiForums Tanzania Binti/Mwanamke unapenda nini zaidi kwenye "ubinti/uanamke"wako na kama kuna next life ungependa tena kuzaliwa kama mwanamke?

    Nini kinachokufanya ujivunie kuwa mwanamke?
  12. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  13. JamiiForums Tanzania Je Kuna ukweli kwenye hili ya kubwa " wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa so wazuri Tena"?

    Wakuu, Leo nikiwa katika mtandao wa Instagram nilimsikia Oscar Oscar akisema ya kuwa wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa kwisha Na pia bingwa wa magari alisema kama huna sababu za msingi kuoa mchagga usioe Nimepata sintofahamu Kwa sababu Nina mpenzi wangu mchagga...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo😱🤯

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥 Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa waitaliano wa leo sinywi tena

    Vodka na warusi sasa leo waitaliano wameleta hizi Najiuliza Huyu mgana ambaye wamemwandaa ionekane wanafuatilia anayemfuatilia makamu wa Chama kikuu cha Upinzani kwanini iwe hivi? Tuko hatua 5 mbele yenu
  16. T

    JamiiForums Tanzania CCM Sio tena chama cha siasa, tusijidangaye kuwa itatoka madarakani kwa amani

    CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi. Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
  17. JamiiForums Tanzania Hali si shwari tena, ndoa na mahusiano zinazidi kuteketeza vijana .

    Inasikitisha. Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao. Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza mithili ya moto wa nyika kwenye nyasi nyingi.hawasemi popote, kwakuwa tu wameshakaririshwa uanaume...
  18. JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania CCM imefika mwisho, ndani ya miaka minne itaondoka,ikiondoka hairudi Tena

    Kwa Nini CCM imefika mwisho. Haitavuka 2030. Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania. Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu. Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kifungo cha Diddy Chapunguzwa Tena Licha ya Ugomvi

    Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028. Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…