teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

    NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hizi mbili zimetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba

  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  4. JamiiForums Tanzania ERB Ongezeni Ubunifu Kuendana na Sayansi na Teknolojia - Waziri Ulega

    ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
  5. JamiiForums Tanzania Safina ya Nuhu ilibeba viumbe hai zaidi ya Milioni Saba. Hakuna Teknolojia ya namna hii kuja kutokea namna hii

    Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu.. Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo! Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuzuia Usiadiwe Kwenye Makundi ya WhatsApp Bila Ruhusa Yako

    Bila shaka ilisha wahi kukupata hii... Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui. Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk. Kuna muda inakera na kuudhi ... Basi kuanzia leo ukisoma makala hii fupi litakuwa limeisha... Mimi Naitwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha teknolojia Ujenzi Morogoro hakina wakufunzi wakutosha, wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu hawawalipi

    Habari ndugu zangu, Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  8. X

    JamiiForums Tanzania China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

    Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29 Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing Litakuwa na safari kati ya Beijing...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya AI na drones inaweza vipi kubadilisha kilimo cha misitu ili kuongeza uzalishaji endelevu huku ikihifadhi mazingira ya kijani?

    Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili. Kwa kutumia teknolojia hizi, wakulima wanaweza kufuatilia afya ya misitu, kupunguza uharibifu wa mazingira, na kuongeza tija...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, teknolojia ya AI na drones inaweza vipi kubadilisha kilimo cha misitu ili kuongeza uzalishaji endelevu huku ikihifadhi mazingira ya kijani?

    Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili. Kwa kutumia teknolojia hizi, wakulima wanaweza kufuatilia afya ya misitu, kupunguza uharibifu wa mazingira, na kuongeza tija...
  11. JamiiForums Tanzania Inawezekana tumemezeshwa matangopori mengi sana kabla ya kuenea kwa teknolojia na kufurika kwa hizi smartphones. Christy Chung yupo hai bana!

    Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni yule mdada aliyekuwa akilindwa na Jet Li kwenye movie ya The Bodyguard From Beijing Kipindi hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli haitakuja kutokea binadamu akagundua teknolojia ya kufufa watu kama aliyotumia Yesu?

    Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje? Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
  13. JamiiForums Tanzania Swali la siku: Ni vitu gani unazingatia kutambua Picha au Video zilizotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba (AI)?

    Mdau umewahi kupotoshwa na maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)? Je ni vitu gani unavizingatia katika kutambua maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia hii ili kuepuka kupotoshwa?
  14. JamiiForums Tanzania Yericko ogopa sana teknolojia. Njoo ujisahihishe hapa

    Yericko Nyerere Pitia hapa ujifunze kuwa mkweli. Kisha soma na hii hapa Kukemea uovu kunakofanywa na Lisu ni kutoa siri za chama? Hebu tueleze hapa umekuwa na ushirika na mfumo kwa muda gani sasa?
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko asisitiza teknolojia itumike uchakataji zao la ndizi

    Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekaribishwa kuwekeza mkoani Kagera kufuatia hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi ambazo mkoa wa huo umefikia ikiwa ni pamoja na mipango ya maendeleo na fursa nyingi za uwekezaji zilizopo. Mkoa wa Kagera ni wa pili kwa uzalishaji wa samaki na fursa...
  16. JamiiForums Tanzania Jipange upya mwaka 2025

    Good Morning 🌞 for Everyone. 2025 Jipange upya njia uliyoitumia kuyaendea mafanikio na plan zako mwaka 2024 usikubali kurejea nayo kwani adui wamekutegea mikwamo mingi sana pengine mwaka 2025 usifike hata robo ya safari yako ya mafanikio, Ninachotamani uelewe ni hiki hapa!! Umekuwa ukifanya...
  17. JamiiForums Tanzania Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo. Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
  18. JamiiForums Tanzania Papa Francis, apewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme peke kuhimiza matumizi ya teknolojia rafiki kwa dunia

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya Kiongozi huyo ambapo hatua hiyo inayoonyesha azma ya Vatican kulinda mazingira na kuhimiza matumizi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  20. JamiiForums Tanzania Teknolojia katika Uchaguzi

    Nilitegemea kujiandikisha 1. Online (kwa mtandao) na 2. Kwenda kwenye vituo vya kujiandikisha. Sasa hadi wakati huu wa kupiga kura bado mtu analazimika kwenda mahali alipojiandikisha?! Kutekelezwa kwa Na. 1, maana yake yote yangefanyika popote mtu alipo bila tatizo lolote; kwa hali ilivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…