teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Teknolojia na Jeshi katika zama za nyuki wasio na asali

    "Mwanajeshi wa kweli anapambana sio kwa sababu anachukia kilichopo mbele yake, Ila ni kwa sababu anapenda kilichopo nyuma yake". UTANGULIZI. Natumai tu wazima na wenye shida na matatizo Mwenyezimungu awape sahali. Nimeanza na msemo maarufu wa kijeshi unolenga kutoa maana ya ni nani mwanajeshi...
  2. JamiiForums Tanzania Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country. But the...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Teknolojia katika upambanaji wa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi

    Mjadala wa kisayansi juu ya uendelevu wa teknolojia ya ndani Mbadala wa kilimo kidogo mageuzi ya kukabiliana na athari za mabadilko ya hali ya hewa kwenye mazao ya bustani🍃🎋 Akinukuu ripoti ya mkutano wa kilele wa hali ya hewa duniani wa 2021 joto la dunia limeongezeka kwa nyuzi joto 1.18...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Athari na Fursa za utajiri kwenye Teknolojia ya Intaneti

    Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti/mtandao ulianza mwaka 1966 na kupamba moto mwanzoni mwa mwaka 1999 hii ilibadilisha kabisa namna binadamu wanavyofanya shughuli zao na kufanya dunia kuwa kama kijiji. Kila vumbuzi zina madhara yake kwa kuwa kitu kinapokuwa kigeni huendelea kutumika na matokeo...
  5. JamiiForums Tanzania Mhandisi Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia

    Matunda ya Tanzania Royal Tour, Mkurugenzi wa shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania), Mhandisi. Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia (SITA Aero) namba moja Duniani. SITA Aero inakadiriwa kuwa jumla ya wanachama 550 Dunia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Elimu nchini na matumizi ya Teknolojia

    Habari zenu wadau. Natumain hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu yenu kujikwamua kiuchumi. Declaration of interest Niweke wazi kwamba mimi ni mdau na mpenzi wa technology kwa maana ya kusomea na katika kutendea kazi. Lakin pia nimekua mdau wa elimu kutokana kuutumia muda mwingi katika...
  7. JamiiForums Tanzania Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

    wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kupiga hatua kwenye teknolojia ya 5G, huku ikizitaka nchi nyingine kuacha teknolojia hiyo

    Fadhili Mpunji Moja kati ya sekta zenye maendeleo ya kasi duniani katika muongo huu, ni teknolojia ya habari na mawasiliano. Maendeleo ya sekta hiyo yanayotajwa kuwa mapinduzi ya tatu ya viwanda, kimsingi ni mapinduzi ya kidigitali, yanayohamisha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

    Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo

    Na WyEST DSM Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo na hivyo linahitaji wadau wengi katika kuendeleza. Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa...
  11. JamiiForums Tanzania Teknolojia imekua, Taasisi za Serikali undeni mifumo rafiki itayolinda faragha za wafichua maovu

    Salaam Wakuu, Kwanza, nawapongeza TAKUKURU na taasisi nyingine za kiserikali kwa jitihada zao na kazi nzuri wanazozifanya katika kupambana na rushwa na maovu nchini. Tumeshuhudia watu kadhaa wakiwekwa hatiani na wengine wakipoteza nafasi zao kwa tuhuma za rushwa. Pamoja na jitihada hizo ukweli...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Wakubaliana kushirikiana katika Elimu, Sayansi na Teknolojia

    TANZANIA, MAREKANI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Na WyEST, DODOMA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Juni 7, 2022Jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Donald Wright ambapo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa vitabu vya kale wakumbatia teknolojia ya kidijitali mkoani Henan, China

    Juni 6, 2022, Shi Weixia, mfanyakazi wa makavazi ya wilaya ya Wenxian katika mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan, China ananakili vitabu vya kale na kubadilisha kurasa za vitabu vya kale kuwa mafaili ya picha. Kuanzia mwaka jana, Makavazi ya Wenxian imekumbatia teknolojia za kisasa katika kupanga...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena aongoza ufunguzi wa Maonesho ya Zana, Teknolojia ya Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza Ufunguzi wa Maenesho Madogo ya Zana na Teknolojia ya Kijeshi ya India (India Mini Defence Expo). Maonesho hayo yaliandaliwa na Ubalozi wa India nchini Tanzania. Maonesho hayo yamefanyika tarehe 30...
  15. JamiiForums Tanzania Akifanya mzungu inaitwa 'Teknolojia', akifanya Mwafrika inaitwa 'Uchawi', kwanini inakuwa hivi lakini?

    Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'. Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi. Ni kama wale waliosema Dunia haipo...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani huwa mnakwama wapi kwenye masuala ya teknolojia, hamskiki kwenye start up zozote

    Hapa Afrika, mataifa manne tu ndio mambo yao yanaongoza kwenye ulingo huu. ======= Kenya ranks among Africa’ four biggest destinations for tech start-up funding after Nigeria, Egypt and South Africa. The African Tech Startups Funding Report (2021) shows that last year in the African tech...
  17. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mazingira, NEMC, anzisheni kampeni ya kupanda miti kutumia teknolojia ya "Air Pots" kuinusuru nchi na jangwa linalotunyemelea

    Air Pots ni Vyungu (Container) maalumu vya kupandia mimea mbalimbali ambavyo huwekewa vishimo vidogovidogo kuzunguka chungu, lengo ikiwa ni kuruhusu mizizi ya mimea kuweza kutafuta mwanga na hewa. Teknolojia hii huwezesha Mmea kukua bila kipangamizi na hata kufikia ukubwa wa kutosha kama...
  18. JamiiForums Tanzania Lugha 10 za Afrika zaongezwa Jukwaa la Google Translate

    Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133 Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia asoma Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2022/23

    HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lakoTukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  20. JamiiForums Tanzania Canossa (Mshindi wa 5 kitaifa, form IV 2018) kuwa shule ya kuigwa kwenye matumizi ya teknoloja ya ufundishaji

    Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…