tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) mnawambia nini waumini wenu kuhusu maandamano yaliyopangwa siku ya Christmas?

    Wanaukumbi. Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu zikipostiwa na Mange na Maria Sarungi, cha kufurahisha haya maandamano yote TEC wameyapa baraka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tangu Samia awe Rais - TEC, vyombo vya kimataifa, Marekani, umoja wa Ulaya, Ghana, n,k vimevunja rekodi kuikosoa serikali yetu, WHO ARE THEY ?

    Juzi Rais wetu alisema tangu awe Rais TEC wamemtolea matamko mengi Nimsaidie Rais wetu kuna zaidi ya hapo, Umoja wa ulaya, Balozi za nchi za Ulaya, Vyombo vya habari vya kimataifa, seneti ya Marekani, Umoja wa mataifa mpaka nchi za Afrika kuanzia Kenya, Ghana na Botswana wamekuwa wakitoa...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Chalamila, Kabla hujamkamata KITIMA ,Tuambie Aliyetaka Kumuua Kitima, Polisi ikasema inachungaza, Kesi imefikia wapi?

    Hao Mlokaa kupanga namna ya Kumuua Kitima wamo waroman. Huko Tanesco pia Wamo Waromani. Funga Domo lako kubwa Kaa kimya, Jiandae Dec 9 Unatembelewa !!!.
  4. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tumehamia TEC vs BAKWATA and TEC vs GOVERNMENT? HALI MI MBAYA

    Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya sana In God we Trust
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh: TEC Mnatakiwa mjue hii nchi sio ya kwenu, Kauli za Kitima hazitofautiani na Mange aliyelaaniwa

    Wakuu, Tunaendelea pale tulipoishia Shekhe anatoa hoja zake kwa Baraza la Maaskofu TEC, Padre Kitimana Mange Kimambi Hoja za Sheikh - Kwani Kitima ni nani? Maana anafanya mambo utafikiri ni Waziri Mkuu - Halafu hawa TEC wanatakiwa wajue hii nchi sio ya kwao - Kauli za Kitima hazitofautiani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ambaye ni Mkatoliki katumwa na Fr. Kitima na viongozi wa Kikatoliki ndio maana yupo kimya?

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi wa kikatoliki.
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna hii Point ya TEC "Kanisa Lina uzoefu wa miaka mingi wa Kuishi na Serikali tofauti tofauti "... Kitima akasema 'Alikuwepo HITLER'

    Aione Samia Aione Wambura Aione Mombo Aione Abdul ,Mafwele, Kizigha, na genge lao lote. KAMWE ,HAMNA SERIKALI CHINI YA JUA ITAKAYOYUMBISHA KANISA !!..
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ajitokeze mtu aniambie kosa la TEC, nitaweka ukatoloki wangu pembeni tujadili Kwa upole

    TEC wameandamwa sana kuanzia raia namba 1 akiwaita ati ni wavaa majoho mara wapiga nyeto na kashfa kibao, ila sijaona mtu aliyeji hoja zao Wametishiwa kukatwa vichwa 1. TEC wanakemea utekaji na mauaji ya Watanganyika. Wanaipinga TEC waseme wazi haya matukio hayapo 2 TEC wanapinga ulaghai na...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

    MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

    Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki. Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize. Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Mama Samia ataondoka TEC itakuwepo mnapoteza muda kulaumu ukweli

    Ukweli: Mama Samia ataondoka TEC itakuwepo mnapoteza muda kulaumu ukweli. lakini TEC imekuwepo toka miaka ya 60's na itakuwepo akiondoka na hawezi kufanya lolote huo ndiyo ukweli. Serikali badala ya kupigana na vyombo ambayo hawaviwezi ni bora wafuate ushauri wa kuacha kuteka, kuleta katiba...
  14. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 She has justified her killings. TEC walicheza karata zao vizuri dhidi ya Samia kupitia Padre Kitima

    Kuna namna fulani TEC jana kupitia press conference ya Padre Kitima walicheza karata zao vizuri dhidi ya serikali, finally, wananchi wamesikia, CCM imesikia, Afrika imesikia na Dunia imesikia, kila mtu kabaki na mshangao wengine wanachekelea kwa furaha, TEC wamelazimisha nyani kutema bungoo bila...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli wasioutaka Mafisadi: TEC hawajaoverride madhehebu mengine bali Wanapinga uonevu na ufisadi

    Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu. Utekaji usio na...
  16. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo ulitaka TEC wanyamazie Injustice inayoendelea nchini

    Yani serikali yako iteke,iue watu hovyo. Chama chako kiibe uchaguzi kupitia vyombo vya dola ambavyo vipo compromised. Maisha yaendelee kuwa magumu huku ninyi mkipeana vyeo kupitia nepotism. Halafu watu au taasisi zikiyasema hayo mnachukia,hivi ninyi ni wenda wazimu? Hell no,hii haikubaliki...
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania 2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu. Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

    Friends and our Enemies, Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa. TEC na KANISA KATOLIKI... Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya...
Back
Top Bottom