Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 534
- 506
Huwa tunashuhudia mipango ya kutenda uovu au vurugu kwenye nchi ikiandaliwa kupitia hamasa ya wanaharakati uchwara.
Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je?
Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai?
Ni kwanini hawakemei hayo yakipangwa?
Halafu hawa TEC wanakuwa kimya, wala hawawezi kukemea Sasa swali ni je?
Wao hawana mali,hawana familia,hawana ndugu,hawana koo au hawana uhai?
Ni kwanini hawakemei hayo yakipangwa?