tcu

  1. S

    TCU kumbukeni Waziri Mkuu aliwaambia acheni kunyanyasa na kuonea Vyuo Vikuu Binafsi

    Hii taasisi ya serikali inayosimamia vyuo vikuu nchini imekuwa na tabia ya kuonea, kunyanyasa vyuo vikuu binafsi. Kuna kipindi hasa miaka ya 2016 walifungia sana either chuo kabisa au baadhi kozi. Hii ilipekea taharuki kubwa sana nchini. Ilifungia matawi ya vyuo vikuu hasa kutokea nchi za Kenya...
  2. Hot bird

    DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
  3. M

    TCU chukueni hatua dhidi ya chuo cha SAUT-Mtwara

    Habari, Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
  4. benzemah

    Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  5. JanguKamaJangu

    DOKEZO Responded TCU ichunguze vyeo vya Udaktari wa Heshima wanaopewa Wanasiasa, tunatengeneza Taifa la Wajinga

    Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko There is need to control honorary degrees in Tanzania Having a doctorate is a big deal. It shows that the...
  6. robinson crusoe

    Udhaifu wa TCU kusimamia elimu sasa kila mtu anajipa cheti cha PhD

    Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya. Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
  7. C

    Waandishi wa Habari wa Tanzania jitahidini mlizingatie sana hili la TCU kuhusu PhD za Taaluma na zile za Heshima

    Kwa mujibu wa TCU ni kwamba Mtu yoyote ( hata awe ni nani Tanzania ) akiwa ametunukiwa PhD ya Heshima akiwa anatajwa ni lazima Kianze Cheo chake kisha Jina na Tuzo hiyo ya Heshima. Kwa mfano Cognizant nikiwa labda ni Mkuu wa Wilaya na nimezawadiwa PhD ya Heshima na Chuo Kikuu chochote Waandishi...
  8. M

    TCU wasaidieni wanataaluma wa SUZA

    Ni kuhusu kadhia ya kutokupandihswa madaraja kwa wanataaluma. Suala la academic promotions kwa chuo kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) ni la kusikitisha na kufedhehesha. Mchakato unachukua muda sana kiasi ambacho mwanataaluma anaweza kuomba promotion ikachukua mwaka na zaidi bila ya...
  9. G

    Vyuo vinavyotoa Masters degree ambavyo havipo kwenye orodha ya TCU (Post-Graduate guide book)

    Habari wanaJF Nilikuwa napitia kitabu cha TCU cha "Postgraduate Guidebook", Nikaona kuna baadhi ya vyuo kama CBE, TIA, IIA n.k ambavyo ni vya serikali na vinatoa hadi elimu ngazi ya Masters lakini kwenye kitabu hicho. Hii inamaanisha hizo kozi hazitambuliki na TCU? Au TCU wamevisahau...
  10. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu Distance University

    Habari Wadau Kwa wale wenye uelewa au ambao washawahi kusoma distance learning nahitaji kupata maelezo kidogo kuhusu hichi chuo cha University of People cha America na pengine yupo ambae ashawahi kusoma na labda kutambulika kwake kwa Tanzania na TCU ,Naamini tutafaidika sote kwa mawazo yenu...
  11. Z

    Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  12. rangyahero

    CBE Dar es Salaam kuna nini?

    Kuna uwezekano mkubwa kwa wanafunzi wa CBE Dar es salaam wa mwaka 2022 waliofaulu kujiunga na vyuo vikuu hawatapata fursa hiyo. Tafadhali wenye taarifa kamili tujuzeni. Wazazi tumelipia watoto ada miaka miwili Ili kuwapatia watoto fursa za kujiendeleza kielimu ila tunashangazwa na mwenendo wa...
  13. J

    Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Jiji la Mwanza, la pili kwa ukubwa Tanzania (The second largest City in Tanzania), sifa nyingine ni jiji lililo katikati Kati ya majiji ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapa namaanisha Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura. Kinshasa pote ni karibu kufika jijini Mwanza. ELIMU YA JUU Katika elimu...
  14. I

    Online Masters programmes zinazotolewa na Coursera zinatambulika na TCU?

    Naam wakuu kichwa kinajieleza hapo. Je hivyo vyeti vinavotolewa hapo vinatambulika na TCU kweli au ni kupoteza muda na fedha?
  15. K

    Msaada: Hizi kozi zilizotajwa kutumika kama equivalent entry qualification kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma ni kozi gani hizo?

    Salaam..... Naomba kujua kozi zilizotajwa kwa jina la BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology. kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma kuwa ziliweza kutumika kama equivalent qualification kusoma degree yeyote ya afya yaani medicine, pharmacy nk...
  16. Jidu La Mabambasi

    Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini: "Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli. Kwanini msiombe yafuatayo: 1. Abstract...
  17. Idugunde

    Ufafanuzi wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania(TCU) juu ya utoaji Shahada za Heshima

    Tume ya vyuo vikuu Tanzania TCU imetoa tamko kuhusu utaratibu wa utoaji wa shahada za heshima yaani honorary degrees,hii ni kutokana na mjadala wa PhD ya heshima aliyopewa Dkt.Msukuma hivi karibuni.
  18. S

    TCU toeni tamko kuhusu honorary degree ya Musukuma

    Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni. Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya...
  19. kavulata

    TCU, sio kila Professor anaweza kuwa VC wa chuo

    Vyuo vyetu vikuu vina idadi ndogo ya maprofesa, na wale wachache waliopo sio kweli wote wanazo sifa za kushika nafasi ya u vice chancellor, maNaibu Makamu wakuu wa chuo taaluma na mipango na fedha, au kuwa mkuu wa idara au Mkuu wa kitivo. Nafasi hizi zinahitaji maarifa na sifa ambazo ni zaidi...
  20. kavulata

    TCU inavikanganya vyuo na wanafunzi

    Vyuo vinachagua/dahiri wanafunzi wenye sifa kwenye vyuo vyao kwa idadi waliyopewa na TCU, lakini wanafunzi waliochaguliwa nao wana hiari ya kuukubali/confirm udahiri wa chuo kwa kutumia mtandao hadi dakika ya mwisho. Mkanganyiko kwa vyuo uko hivi, vyuo havina uhakika ni wanafunzi wangapi...
Back
Top Bottom