Kwanza nianze kwa kuliweka wazi, namfahamu jamaa yangu wa karibu aliyewekeza kwenye FM Radio.
Ni bora Mama Samia naye kalizungumzia tatizo la FEES a TCRA , tozo ambazo ni za juu mno bila sababu yoyote.
FEES za mwaka ni Dola $3,070 (na zaidi ya hapo kwa leseni ya kanda au Taifa) na ukichelewa...