Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.
Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya Kenya, TV47, amezungumzia kuhusu machafuko yaliyoikumba Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29...
Unajua vitu vingine vinapita kichwani halafu unajiuliza kama vimepita. Kwanini inaonekana kama Samia anatafuta pa kushikilia? Ni kama hajajua mahali pa kutokea..
Au ndio ule msemo wa wahenga..."mfa maji..."
Maana amezungumza kama mtu aliyeambiwa mambo mengi kuhusiana na mauaji yaliyotokea...
Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao.
Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC.
Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari...
Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbunge Mteule wa Viti Maalum Zanzibar Mwanaenzi Hassan Suluhu, leo Novemba 12, 2025 katika Bunge la 13 Mkutano wa kwanza kikao cha pili Jijini Dodoma, amekula kiapo kulitumia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kikamilifu
Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe unakuwa ni rais, haisemi kununua watu waku fanyie uchawa kuwa wewe unaweza kuwa rais kinyume cha kuchaguliwa na wananchi.
Kitendo kilichofanyika ni kujitangaza kuwa ni rais...
Haikuwa kazi ndogo..
Waliokufa kwenye maandamano, majina yaa yaandikwe kwa Wino wa dhahabu.
CCM wametepeta. Viongozi wametepeta. Mafisadi wanatetemeke.
Sasa Tanzania ni iyenaiyena... 🎉🎉🎉
Mimi ni muislamu.
Uislamu hautaki mtu dhaifu
Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo.
Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu.
Tusiangushane.
Hatuna muda mwingine zaidi ya huu.
Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
Watanzania tusirudi nyuma. Ushindi upo upande wetu. Nipo sehemu jamaa wameisha kubali mziki, ila mambo wanayo fanya wanatapa tapa. Chawa wa mama pro hapa kakataa tamaaa sikuamini kama huyu mbwaaa ata surrender...
Damu ya Mafwele mniachie mie niinywe live
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.
Nyote semeni AMEN.
Kulingana na press ya mwisho ya slowslow anasema kuna wazee ambao walikua na misimamo ila nao washalambishwa asali, baada ya uchaguzi watasimamia maridhiano ya kitaifa ili kuhalalisha yaliyotokea yote.
Na moja ya mzee huyo jana kaonyesha kweli kalamba asali, na siku za nyuma polepole alishawahi...
I salute you kinsmen.
Rejea uzi wangu uliopita niliposhauri kuwa tatizo la yanga hasa ni mkurugenzi wa ufundi bwana Moalim aliyeondoka..
Leo najaribu kuelewesha deep sana. Well let's goo.
Huyo bwana kitaalamu ni kocha kabisa na ana vigezo vya kusimama kwenye pitch line.
Huyu alikuwa na...
Habarini,
Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae.
Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
MangeKimambi hawajui watanzania vizuri ni kwamba anajisumbua tu. Watanzania hakuna hata mmoja atakae toka kuandamana. Maandamano yao yapo mitandaoni. Kila mmoja anamtegemea mwenzake atoke na mwenzake anamtegemea mwenzake mwingine atoke
Je unataka kuongeza uonekano wa biashara yako mtandaoni na kufungua milango mipya ya wateja bila kuchelewa? Tuna furaha kukutaarifu kuwa tunaunda website zako za kisasa, zenye mfumo kamili na functionalities zote muhimu, ndani ya siku 3 tu!
Huduma Zetu Zinajumuisha:
Design ya Kisasa (Modern...
Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe.
Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira zinazotangazwa.
Baada ya malalamiko kwenye usaili wa 2023, wakaamua kuacha hata kuweka hadharani majina ya...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
How To Know A Woman That Is Ready For Marriage!
Many women are waiting for marriage, but they are not ready for marriage.
Some women may have married without these qualities, but it will show in the quality of their marriage.
But when a woman is truly ready for marriage, these qualities must be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.