tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume rijali yupo tayari kusamehe chochote isipokua kushea tunda la kati, hata kama ndoa itaendelea things will never be the same again

    Ni mapicha picha kama haya ndio hufanya iwe ngumu kusamehe
  2. JamiiForums Tanzania Je, Tuko Tayari Kukabiliana na Vitisho vya Usalama Julai 7?

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa wepesi wa kuamini kila taarifa inayosambazwa bila uthibitisho rasmi, ni wajibu wa kila mwananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

    Wakuu! Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri. Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup. Wengine...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Andy Burnham aapishwa, tayari kumrithi Keir Starmer

    Siku moja baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu, mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Labour, Andy Burnham, ameapishwa tena kuwa Mbunge wa jimbo la Makerfield, hatua inayotajwa kuwa mwanzo wa safari yake kuelekea kuingia Ikulu ya Downing Street kama Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Burnham, ambaye...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ninyi mlio tayari kwa lolote wakati wowote mmetokea sayari gani?

    Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto...
  6. JamiiForums Tanzania Unaomba ushauri mtandaoni; upo tayari kukabiliana na usiyoyatarajia?

    Kama wewe ni mwenyeji humu ndani utakuwa na uzoefu mzuri sana juu ya wale wote ambao huwa wanaomba ushauri humu na kile ambacho huwa wanakipata. Ushauri unapata na kusimangwa juu,si ajabu hapo ulipo unahisi kama uanata kujinyonga kutokana na changamoto zako mbali mbali,sasa unataka kutafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Tupo tayari kupokea mwaka mpya wa kiislam kesho kutwa 17/06

    Hamjambo wote! Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji. Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza
  8. JamiiForums Tanzania SALES OFFICER | Miaka 4 Uzoefu | 230+ Wateja | Niko Tayari kuamia popote Tanzania

    Habari wakuu, Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja. NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO: 1. Kusimamia wateja 200+ 2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate 3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki...
  9. JamiiForums Tanzania Selection za kidato cha tano na vyuo vya Kati 2026 tayari zimeachiwa

    Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
  10. JamiiForums Tanzania Kusema kweli siko tayari kwa ajili ya commitment, natafuta tu mrembo wa ku-spend moments nae. Karibu.

    VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

    Nimetaarifiwa rasmi kuwa karibu watu wote waliotekwa wamkwishakufa, kutokana na mateso, kuugua kwa sabababu ya majeraha wakati wa kutekwa kwao na pia wengine wawili walikufa kutokana na sonona ya huko walipohifadhiwa. Haya yote yamefanyika ili baadhi ya watu waendelee kupata haya: 1. Misafara...
  12. JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  13. JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
  14. JamiiForums Tanzania Dangote ana dola bilioni 45 zinasuburi kuwekezwa kwenye LNG plant Nigeria na refinery East Africa. 2030 miradi hiyo itakuwa tayari.

    Msikilize mwenyewe. https://youtube.com/watch?v=jVs4NBoHZic&si=JzFKdd-vhBYoxp9O
  15. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Lema: Lissu yuko tayari kufia jela wala msihangaike na Maridhiano feki

    Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaovaa haya magauni kichwani hamnazo, niko tayari kuitwa mshamba

    Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi. Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu. Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malaya
  18. JamiiForums Tanzania POTOSHI Eti Nchimbi amemwambia Rais Samia "Kama Mnataka Kunitimua, nitimueni leoleo

  19. JamiiForums Tanzania John Heche: Chadema tupo tayari kumpokea Halima Mdee

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche amesema wao kama CHADEMA wapo tayari kupokea Halima Mdee Heche ameyasema hayo kwenye kipindi cha Jana Na Leo kupitia Wasafi Fm Aprili 15, 2026
  20. JamiiForums Tanzania Je, na zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG Nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG ni Sawa na TZS 1550

    Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia kuongezeka kwa bei za mafuta katika soko la kimataifa, hali hii mara nyingi husababisha ongezeko la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…