tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ninyi mlio tayari kwa lolote wakati wowote mmetokea sayari gani?

    Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto...
  2. JamiiForums Tanzania Unaomba ushauri mtandaoni; upo tayari kukabiliana na usiyoyatarajia?

    Kama wewe ni mwenyeji humu ndani utakuwa na uzoefu mzuri sana juu ya wale wote ambao huwa wanaomba ushauri humu na kile ambacho huwa wanakipata. Ushauri unapata na kusimangwa juu,si ajabu hapo ulipo unahisi kama uanata kujinyonga kutokana na changamoto zako mbali mbali,sasa unataka kutafuta...
  3. JamiiForums Tanzania Tupo tayari kupokea mwaka mpya wa kiislam kesho kutwa 17/06

    Hamjambo wote! Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji. Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza
  4. JamiiForums Tanzania SALES OFFICER | Miaka 4 Uzoefu | 230+ Wateja | Niko Tayari kuamia popote Tanzania

    Habari wakuu, Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja. NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO: 1. Kusimamia wateja 200+ 2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate 3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki...
  5. JamiiForums Tanzania Selection za kidato cha tano na vyuo vya Kati 2026 tayari zimeachiwa

    Link iyo chini kutazama https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-allocation/2026/first-selection/index.html
  6. JamiiForums Tanzania Kusema kweli siko tayari kwa ajili ya commitment, natafuta tu mrembo wa ku-spend moments nae. Karibu.

    VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni uhakika kwamba waliotekwa karibu wote tayari wamekufa

    Nimetaarifiwa rasmi kuwa karibu watu wote waliotekwa wamkwishakufa, kutokana na mateso, kuugua kwa sabababu ya majeraha wakati wa kutekwa kwao na pia wengine wawili walikufa kutokana na sonona ya huko walipohifadhiwa. Haya yote yamefanyika ili baadhi ya watu waendelee kupata haya: 1. Misafara...
  8. JamiiForums Tanzania Samia kutoswa na Kundi ambalo halikuhusika na Mauaji Wala Utekaji, ila Lina Mali na Fedha zake US na Ulaya .. Tayari Hawaruhusiwi Kuhamisha Fedha zao.

    Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli. Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA. Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
  9. JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
  10. JamiiForums Tanzania Dangote ana dola bilioni 45 zinasuburi kuwekezwa kwenye LNG plant Nigeria na refinery East Africa. 2030 miradi hiyo itakuwa tayari.

    Msikilize mwenyewe. https://youtube.com/watch?v=jVs4NBoHZic&si=JzFKdd-vhBYoxp9O
  11. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Lema: Lissu yuko tayari kufia jela wala msihangaike na Maridhiano feki

    Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaovaa haya magauni kichwani hamnazo, niko tayari kuitwa mshamba

    Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi. Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu. Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malaya
  14. JamiiForums Tanzania POTOSHI Eti Nchimbi amemwambia Rais Samia "Kama Mnataka Kunitimua, nitimueni leoleo

  15. JamiiForums Tanzania John Heche: Chadema tupo tayari kumpokea Halima Mdee

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche amesema wao kama CHADEMA wapo tayari kupokea Halima Mdee Heche ameyasema hayo kwenye kipindi cha Jana Na Leo kupitia Wasafi Fm Aprili 15, 2026
  16. JamiiForums Tanzania Je, na zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG Nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG ni Sawa na TZS 1550

    Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia kuongezeka kwa bei za mafuta katika soko la kimataifa, hali hii mara nyingi husababisha ongezeko la...
  17. JamiiForums Tanzania Bodaboda wapo tayari Kwa maandamano 7 April, 2026

    Baada ya kupanda bei ya mafuta kutoka 3000 hadi 4000 Nchi hii ina vijana zaidi ya milion 15 waliojiijiri katika shughuli za bodaboda. Mliwaaminisha bodaboda ni kazi rasmi na ajira Leo wapo vijiweni wanaliwa na njaa Mliwatumia vya kutosha kwenye kampeni zenu kunogesha misafara, Leo...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

    🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but here is his obituary in advance. Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana, waraka wa kwaresma wa TEC-2026 upo tayari na umejaa maoni binafsi ya katibu mkuu wa baraza hilo pekee

    Ni ajabu na kweli kwamba, eti hata kabla ya baraza hilo halijaketi kuhitimisha tafakari ya kipindi cha siku 40 za mfungo wa kwaresma2026, imebainika tayari kwamba, waraka wa baraza hilo umeshaandaliwa na kukamilishwa muda mrefu tu na katibu mkuu wa baraza hilo, na kwamba yaliyomo ndio mawazo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…