tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Manyara Tayari Kupokea Wanafunzi Kutoka Pande Zote za Nchi

    MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI Nimewaelekeza viongozi husika kuzingatia utoaji wa huduma katika sekta hii ya elimu kwa kuzingatia ubora, maadili, taratibu, miongozo na sheria hasa katika shule hii mpya ya wasichana ya Mkoa Manyara. "wazazi wote ambao watoto wenu...
  2. JamiiForums Tanzania Israel: Tupo tayari kwa vita kamili na Hezbollah/ Israel yashambulia kusini mwa Hezbollah

    Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo mapema. Hezbollah walifanya shambulizi hilo kujibu kauli ya Netanyahu hapa juzi baada ya Netanyahu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwe tayari kuzifuatilia mbegu za mazao Kwa majaribio ya kupanda sio Kwa majaribio ya upimaji kisasa bila kupanda

    Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
  4. JamiiForums Tanzania Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga, je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?

    Leo ndiyo leo bata la ubingwa wa Yanga,je upo tayari kuenjoy na kuwakera my wetu Simba?
  5. JamiiForums Tanzania Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa. Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

    uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana. kwamba, kama nchi tupo...
  7. JamiiForums Tanzania 6G tayari

    Ujio wa 6G tutegemee nini hasa huku Africa, au tuendelee na matumizi yaleyale kama ya 4G?
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Je, tupo tayari kwa AFCON 2027?

    Septemba 27, 2023 huko Cairo, Misri katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF walitangaza kuwa Tanzania, Kenya pamoja na Uganda watakuwa wenyeji wa michuano ya Afcon 2027. Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2027, ambayo pia inajulikana kama AFCON 2027 au CAN 2027, imeratibiwa kuwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

    Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili. Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
  11. JamiiForums Tanzania Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

    Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wana Mbeya mpo tayari kuburudika na Katarama?

    Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar? Kama wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko Mkikataa atawaacha na machuma yenu Mkikubali Katarama...
  13. JamiiForums Tanzania Robo ya mwaka imeisha tayari, umetimiza mikakati gani?

    Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila kutunza pesa Dar Jamani eeeh?
  14. JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Tayari Bodaboda kashafanya yake

  18. JamiiForums Tanzania Waarabu wakija kushtuka, tayari watakuwa wamemalizwa kwa unafiki wa Iran

    Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits wengi kwa ajili ya maandamamo dhidi ya israel. Sasa Mazayuni bado wanataka kuimaliza kabisa Gaza na...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani yasogeza meli za kivita na kuziweka mkao wa tayari kuichakaza Iran

    Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano..... The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend. The...
  20. JamiiForums Tanzania Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…