tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Tetesi: Inasemekana, waraka wa kwaresma wa TEC-2026 upo tayari na umejaa maoni binafsi ya katibu mkuu wa baraza hilo pekee

    Ni ajabu na kweli kwamba, eti hata kabla ya baraza hilo halijaketi kuhitimisha tafakari ya kipindi cha siku 40 za mfungo wa kwaresma2026, imebainika tayari kwamba, waraka wa baraza hilo umeshaandaliwa na kukamilishwa muda mrefu tu na katibu mkuu wa baraza hilo, na kwamba yaliyomo ndio mawazo na...
  2. Uhuru24

    Tayari huko, Umati mkubwa wa watu umefurika katika mitaa ya Tel Aviv

    Kumeanza kuchangamka Umati mkubwa wa watu umefurika katika mitaa ya Tel Aviv, wakielekea kwenye majengo ya serikali katika maandamano makubwa yanayotikisa utawala. Kulingana na BRICS News, hali hii inaonyesha kana kwamba nguvu ya mfumo wa dunia wa upande mmoja inaanza kuyumba ndani ya nchi...
  3. M

    Watu hawa maarufu walioacha chuo (dropouts), tayari walikuwa na ujuzi, mafanikio na connections nzito, sio kama mnavyodanganyana vijiweni

    Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau: Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio. Waliondoka chuo kwa sababu: Tayari walikuwa na ujuzi maalum Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao Tayari walikuwa na connections nzito za...
  4. Kipenzi Changu

    Pentagon: Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer

    https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8 Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer Kamanda yupo Live Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya mkutano wa dharura na waandishi wa habari muda huu kufuatia taarifa zinazoenea kuwa kikosi cha ndege za...
  5. H

    Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

    Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
  6. M

    Wenzetu mlioamua kufunga imani yenu ni mnakerwa tukila mbele yenu, mmefunga kwa imani au kwa matumbo?

    Nimeona habari nchi mbali mbali zikikamata watu na kutoa maonyo kutoruhusu watu kula hadharani kwasababu za mfungo. Kwa mtu alieamua kufunga kwa imani, ni rahisi funga yake kuharibika akiona hata mgonjwa anaotea jua nje huku anakula chakula ? Hii ni funga ya kimwili au kiroho.
  7. Pdidy

    Barcelona kala 4 tayari huko msilale dk ya 52 kha

    HAKIKA WEMA NA FADHILI ZITANIFWATA....AMEN SHIKAMOO MHINDI
  8. Red black

    Ukizaliwa/ukizamia tu America 🇱🇷 tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

    Yeah, Ukizaliwa first world country tayari una asilimia kubwa sana ya kufanikiwa kwenye angle zote kimaisha, kimasomo, kiuchumu..nk Hata wabeba box wengi wenye akili sawsawa waliozamia America, ulaya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
  9. Dalton elijah

    Rais Salva Kiir ameteua Mjumbe aliyekufa kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
  10. Black cap

    Mwingine tayari au huyu wa zamani

    Nimeona kwa tulia ila kifo
  11. Echolima1

    Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

    BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7 Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache. Israeli wala Marekani hawajatoa maoni. Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani...
  12. Joshua Mbezi

    Sababu Za Iran Kupigwa Tayari Zimepatikana Sasa Ni Suala La Muda;

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
  13. Dalton elijah

    SI KWELI si kweli kuwa CHADEMA imekiri kwamba wapo tayari kwa maridhiano yatakayo fanyika.

    Mkuu wa Idara ya habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Gervas Lyenda ni amesema Chama chake kipo tayari kushiriki kwenye mchakato wa maridhiano ili kuhakikisha Tanzania inakuwa na amani na utulivu wa kisiasa wa kudumu. Lyenda amebainisha hayo wakati akifanya mahojiano na...
  14. Blasio Kachuchu

    Mkumbo: Tanzania Iko Tayari kwa Uwekezaji wa Kimataifa

    London, Uingereza — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewahakikishia wawekezaji wa Uingereza kuwa Tanzania ni nchi salama, yenye uthabiti wa kisiasa na inayoendelea kutekeleza mageuzi ya kina ili kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Prof...
  15. Mshana Jr

    Je, uko tayari kukutana na Tume ya Uchunguzi wa yaliyotokea Oktoba 29 2025?

    A. Hapana..! Kwanini B. Ndio.. Kwanini
  16. Just Pray

    Kihongosi: Kuna vyama wapo tayari kuumiza watu ili wawe viongozi

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama vinavyotumia demokrasia hiyo kama kichaka cha kufanya vurugu na kuchochea uasi ndani ya Taifa...
  17. K

    Tetesi: Script imeshaandikwa tayari wale ‘waliomshambulia’ dada fake wa kikatoliki wamekamatwa

    Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango ambavyo ni fake. Lakini Polisi Temeke wamegoma kuicheza script wamewataka husika wakate rufaa...
  18. youngkato

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  19. I

    Marekani inajiweka tayari kuishambulia Iran

    Ndege nyingi za Jeshi la Anga la Marekani zimeonekana zikiondoka katika kambi mbalimbali nchini Marekani na pia kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza, zikielekea Mashariki ya Kati. Ndege hizo ni pamoja na za kujaza mafuta angani na ndege kubwa za kusafirisha wanajeshi na vifaa...
  20. Lord Denning

    TEC huyu mama anawabeep. Tunaomba muandike barua kwenda ICC kuieleza mna ushahidi wa Mauaji yaliyofanyika Oktoba 29 na mpo tayari kuutoa

    Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima. Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
Back
Top Bottom