tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  2. JamiiForums Tanzania Huyu Mhalifu ni kama alikuwa na jambo lake na Polisi. Raia hakuwa na tatizo nao

    Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi. Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia. Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
  3. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole amepatwa na nini?

    Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa. Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani? Au ni msongo wa mawazo 'depression'? Wataalam wa saikolojia na magonjwa ya akili tupeni somo hapa.
  4. JamiiForums Tanzania Je, siku za kuiingia hedhi mwanamke zikibadilika tarehe kuna tatizo?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa? Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
  5. JamiiForums Tanzania Yanga kuna tatizo

    Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi Kutoweka kwa benchi la ufundi; tangu Yanga imeanza pre season hakuna kinacho eleweka rasmi wako wapi wasaidizi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Serikali iweke Tozo kwa Wamachinga kukabiliana na changamoto kwenye Majiji na Miji

    Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza. Ni kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo si kulipa ila ni kumlipia mwenye nyumba ili hali kodi nampa

    Tulipeni Kisha wenye nyumba tukaeni chini nao tuzungumze,wakate kwenye usafi na vitu vya usafi
  8. JamiiForums Tanzania Tutaipata Katiba Mpya, kuuzima mjadala wake ni ngumu

    Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la ngozi mguuni

    Hi doctors! for a while nimekuwa nikipatwa na hali ya ngozi kubanduka kama gamba. Sijajua hi hali inasababishwa na nini. pia hii imepelekea kutopenda kuvaa viatu. Maana nikivaa kwa muda miguu huuma. Msaada please. Wenu. At Calvary Mrejesho: Nilienda hospitali nliambiwa ni Fungus.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo si chanjo au wananchi, tatizo ni viongozi wetu

    Binafsi naona tatizo la baadhi ya watu kugomea chanjo limesababishwa na serikali yenyewe na ( viongozi wa dini). Kwa kawaida kunapotokea upotoshwaji wowote kwa makusudi au kwa Bahati mbaya utakaofanywa na Kiongozi wa serikali. Kinachofata ni uwajibikaji. Kwa kuwajibishwa au yeye kujiwajibisha...
  11. JamiiForums Tanzania Sio mbaya kuiga ubunifu huu wa majirani ili kupunguza tatizo la ajira

    Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao. Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, tatizo ni chanjo ya UVIKO-19 au ni imani potofu?

    Sakata la chanjo ya UVIKO-19 linazidi kupata sura mpya kila kukicha huku uamuzi wa kuchanjwa ama kutochanjwa ukizidi kuwa na sintofahamu nyingi. Nia ya Makala hii leo sio kushawishi watu kuchanjwa ama la bali kujenga hoja zitakazosaidia kufanya uchaguzi sahihi wa kuchanjwa ama kutochanjwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi waliotumwa kumuua Lissu waliaminishwa wakaamini tatizo la Tanzania ni Lissu?

    Najiuliza Ni doctrine gani waliyokuwa nayo wale waliokwenda kumfyatulia risasi Lissu. Najiuliza walidhani Lissu ndo tatizo la Tanzania ? Walidhani ugumu wao wa maisha unaletwa na Lissu? Waliaminishwa Nini Hadi wakaamua kuvaa nafsi ya mauaji? Lakini najiuliza waliowatuma waliaminishwa na Nini...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa waume wengi wa Dar es Salaam

    Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi. hii sio kweri kabisa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na kipanda uso tangu wiki iliyopita

    Nasumbuliwa na kipanda USO kuanzia wiki lilopita, je inawez kuw n dalil ya ugonjwa gani,cjaumw mud San kipanda USO (miaka 10 ),nitumie saw zp za asil kuondoa tatizo ,nb dawa za hospital na aleg nazo ispokuw sindano tu!
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Wakuu habari za muda huu? Miezi kama 6 iliyopita, nilinunua benz kwa mtu. Gari ni Mercedes E280. Nilikagua chassis number vizuri na kujiridhisha umiliki wake. Nimekaa nayo vizuri bila tatizo. Siku chache zilizopita nikashauriwa niibadilishe umiliki. Katika kuiangalia vizuri kadi ya gari...
  17. JamiiForums Tanzania Malipo ya Wastaafu: Tatizo lipo Kitengo/Idara gani?

    Ifike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani? Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora ya kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira ni dogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea kama nchi yetu Tanzania. Kinachosababisha kuwepo...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

    Hakuna taifa lolote duniani lililosimama imara bila nguvu za mkuu wa anga! Kuanzia matambiko mpaka makafara na vyama vya kishetani. Hivi vyote vimejenga madhabahu zao kwenye kila ardhi ya kila taifa. Wananchi wake wana dini na imani zao lakini mataifa yamesimikwa kwenye hizi madhabahu viapo na...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la UVIKO-19: Mwaka huu Moshi kutaendeka kweli?

    Dah! Taarifa za msiba zimekuwa nyingi sana. Kwanza naamini Watanzania wanakufa sababu ya uzembe na kujitakia wenyewe. Mtu anakufa kwa nimonia watu mnajazana msibani kwenda kuzika bila tahadhari yoyote unategemea nini hapo? Umeenda kuzika mara 3 je Disemba utaenda tena. Mkoa wa Kilimanjaro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…