tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni muhimu kwa sasa

    Ukisema hatA kama ulikuwa ni CCM kindakindaki, unakuwa mpinzani. Unatakiwa uwe mnafiki kusifia kila kitu Hivi;- Kuonyesha nyala za serikali ndio kuifungua Nchi - Kuonyesha hazina yako ndo kuvutia wawekezaji tutaibiwa mpaka tukome na hiyo faida tunayoitegemea itatupa majuto. Mungu ibariki...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

    Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu? Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani? Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui ni Tabora hiyo, aisee...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kihisia muda wa tendo!

    Habarini wana Jamiiforum! Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!; Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri! Kimbembe ni muda wote wa kujamiiana hakuna Raha yoyote nayoipata isipokuwa mwishoni muda wa kupiga bao...
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Nilivyoteseka na tatizo la nguvu za kiume

    Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana. Sikuwa na rekodi yoyote kuhusu kuwa na msichana na wala kufanya zinaa. NDUGU WAINGIA WASIWASI NA MIMI. Baadhi ua ndugu, jamaa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

    Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula, Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti? Nani angeamini kama Waitara angesaliti? Kipindi cha JPM nadhani mliona...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Kwema wadau? Mke wangu amekua ana tatzo la kukoroma haswaa anakoroma utafirikiri mwanaume hii hali ya kukoroma ina tibika kweli Msaada kwenu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni tatizo la Mataifa yote sio Tanzania pekee

    USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji Texas in $4.25 kwa Lita 3.7 au gallon moja. Hivyo ni lazima tujue hili sio tatizo la Tanzania pekee...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya Wahadhiri kuomba rushwa ya ngono. Je, suluhisho ni nini?

    Habari zenu wana JamiiForums Naomba kuuliza ama kutoa dukuduku; hivi kwanini baadhi ya Wahadhiri wa vyuo haswa Wahadhiri wa kiume wanakuwaga na tabia ya kuwadhalilisha wanachuo wa kike kingono sana, tena haswa linapokuja suala la mitihani na kutafuta courseworks Unakuta msichana/mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Hitimisho langu: Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania

    Amani iwe nanyi! Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa hatujaweza kumuondoa huyu adui ujinga! Mwana jf samurai katika uzi unaoelezea Mhe Rais kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Madhara ya kupanda bei kiholela kwenye uchumi na namna mfumo wa kiutawala wa Tanzania unavochangia uwepo wa hili tatizo

    Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mawaziri mizigo wanaligharimu taifa na wananchi wanyonge wanataabika. Mkuu wa nchi yupo kimya kana kamba haoni. Hili ni tatizo

    Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022. Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza kuangalia namna ambavyo tozo zinazosababisha mafuta kupanda bei kushushwa? Au kwa sababu yeye tozo...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kuchemsha. Tafadhali pitia uzi huu, unaweza kupata chochote

    Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza. Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️ Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili. Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri? Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji? Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea? Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
  15. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

    Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuna tatizo mahala kuhusu nyongeza ya mshahara

    Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya mahebu. Sababu hili jambo letu sio swali la papo hapo hivyo ni kitu ambacho kiongozi anakuja anajua...
  17. JamiiForums Tanzania Edgar Mkosamali: Upotevu wa Mapato na Utoroshwaji wa Madini Bado Tatizo Sugu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MADINI ACT WAZALENDO NDG. EDGAR MKOSAMALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023 Utangulizi Ndugu Waandishi wa Habari, kama mnavyofahamu kwamba hivi sasa tupo katika Bunge la Bajeti, macho ya watanzania yanaangaza kwa kiasi gani...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani, na nyie mna hili tatizo la Wazungu kuhudumiwa vizuri na kunyenyekewa kuzidi natives (white privelege)

    Habari zenu Wakenya Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana. Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi...
  19. JamiiForums Tanzania Masada, Tatizo la Yellow Light of Death (YLOD) kwenye PS3, Chanzo na Jinsi ya Kuliondoa

    Wakuu Kwema? Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death". Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena. Kuna mwenye kujua hii...
  20. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumaliza tatizo la mimba za utotoni?

    Great thinkers, Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…