Ndugu zangu
Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa.
Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa.
Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.
Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.
Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.
Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa.
Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole.
Ukweli ni upi?
WATANZANIA mpaka sasa tuna shindwa kukubaliana na ukweli kuwa tatizo kuu la taifa letu sio Chama Cha Mapinduzi [ CCM ] bali tatizo letu kuu linalo pelekea umasikini na matatizo mbalimbali kwetu ni sisi wenyewe WATANZANIA.
Mpaka leo hii mwaka 2022 toka uhuru wetu 1961 tumeshindwa kupambana na...
Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako
Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi
1.wapinzani , hao ni kawaida kusema fulani aondolewe Na hata mara nyingi maneno Yao uwa hayatishi kwakuwa...
Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa.
Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi. Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation) sio matumizi ya maji ya kunywa. Mito hukauka.
Maji ya kunywa yapo ardhini, baharini...
Mtume wao Mwamposa alivyotonywa na Watu wa Mfumo wasio na Vifua vya Kutunza Siri kutokana na Viapo vyao kuwa ataondolewa Tanganyika Packers Kawe haraka sana akaandaa Tamasha la Kujipendekeza kwa Rais Samia kwa Kusema ni la Kumuombea akiwa na Mategemeo kuwa 'atalainishiwa' na hatoondolewa...
Tatizo la maji hakuna hata Kiongozi mmoja aliyewajibika.
Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo...
Hakika katika wilaya nchini zinazosababisha Tanzania kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ya nchi zenye wanachi wasio na furaha basi hii wilaya ina mchango mkubwa.
Barabara ni ya vumbi na mbaya zaidi ina matuta madogomadogo a.k.a rasta ambapo kwa basi au gari mtikisiko unaotoka kwa kupita kwenye...
Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili:
Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndio walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndio anawazidi kwa akili zake fupi.
Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye mitandao mbalimbali kinyume kabisa na sheria...
Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama?
Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
Ni vema tukaelezwa Ukweli ili tujipangie Siku za kuoga
Tatizo ni nini hasa?
Ni matengenezo ya Pump za Dawasa au Mto Ruvu hauna Maji?!
Msema Ukweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni!
Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT.
Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye nafasi ya Urais kipindi cha kwanza, ni vizuri anaachiwa pia kipindi chake cha pili ili aweze...
Wana izengo kama somo hapo juu linajieleza. watu wengine tunakutana na majanga na mitego.
Ipo hivi, nilikutanana mwanamama huyu sehemu moja ya kutafutia riziki, ni mfanyakazi kama mie. Ni ofisi yenye pesa na Alhamdullillah tunapata pesa na tuna kila usafiri kila mmoja, tena wa maana.
Bahat...
Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc...
Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk..
Kabla hatujaenda kwenye solution.
Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao
1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA).
2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA).
3. Aweso (waziri wa maji)...
hii ni kabla
Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF.
Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura.
Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo...
Habari ndugu wadau. Hivi watanzania nini tatizo.? Miji yote ukitoa Arusha na Moshi ni michafu kupindukia, watu wanakojoa na kunya ovyo. Plastic zipo kila mahali mitaro imejaa inanuka vinyesi.Hii nchi ya namna gani?
Watumishi wa Serikali wapo wanakula mshahara hakuna kinachoeleweka nani...