tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

    Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa. Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe. Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao. Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Serikali ya CCM ni Denial

    Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana. Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika. Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  5. JamiiForums Tanzania Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume

    Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume Nguvu za kiume kupungua ni changamoto ya kiafya, si kosa wala aibu. Mwanaume anayezungumza mapema ana nafasi kubwa ya kuelewa chanzo na kuchukua hatua sahihi.
  6. R

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad: Tatizo tuna watu ambao wameibuka, Kiongozi lazima atayarishwe

    Katika mahojiano maalum yaliyorushwa na M&S Podcast, Juni 24, 2026, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amefafanua kuwa kiongozi bora ni yule mwenye uwezo wa kusimamia watu na taasisi kwa ufanisi kupitia mambo makuu matatu: upangaji wa mipango ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya tatizo sio katiba mpya !

    "Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majohe: Zaidi ya Masaa 24 Bila Umeme, Tanesco Hamtoi Taarifa Wala Majibu, Tatizo Nini?

    Ninaomba kuwasilisha kero yangu kwa Tanesco kuhusu hali ya umeme katika maeneo la Majohe, Dar es Salaam. Kwa muda sasa tumekuwa tukikumbana na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara bila taarifa yoyote. Karibu kila baada ya siku mbili au tatu tunakaa siku nzima bila umeme, huku wananchi...
  10. JamiiForums Tanzania Wazabuni wanalalamika kutolipwa; tatizo ni bajeti au mfumo wa manunuzi?

    Kwa nini taasisi na mashirika ya serikali hutangaza tenders na kuingia mikataba ya manunuzi wakati fedha za kulipia bidhaa au huduma husika hazipo au cash flow yake haina uhakika? Mwisho wa siku suppliers wanapeleka bidhaa au kutoa huduma, lakini malipo yanachelewa kwa muda mrefu. Je, hali hii...
  11. JamiiForums Tanzania Hili tatizo la wanawake kuwa wakavu ni mimi tu nakutana nalo au ni janga la Taifa?

    Asalam aleiko Moja kwa moja kwenye Mada Siku za hivi karibuni nimeanzisha harakati za kuzitandika mbususu ipasavyo na tena bila huruma. Sasa cha ajabu kati ya mbususu 10 ninazokutana nazo basi 8 lazima ziwe kavu. Soo nauliza ni mimi ndio nina bahati mbaya au k kavu ishakua janga la taifa?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nasumubuliwa na tatizo la GERD / Acid reflux

    Kwa mwezi wa tatu sasa, nimekuwa nikusumbuliwa na maumivu ya kifua pamoja na kiungulia. Baada kujaribu kulienda deep tatizo nimegundua nasumbuliwa na hilo tatizo. Naomba msaada wakuu
  13. JamiiForums Tanzania Je tunaanzisha sera ili kureact/solve tatizo au kukuza nguvu ya itikadi(kutawala)

    Sera ni kiungo muhimu kinachotumika kukabiliana na tatizo linaloikumba jamii, sometimes matatizo hayahitaji sera ili kuyaondoa ila linapokuja jambo la kuanzishwa sera ndiyo tatizo linazidi kuongeza. Kuna baadhi ya sera huanzishwa ili kuleta mgawanyo kwa asilimia Kubwa nchi zetu za Dunia ya tatu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Eneo la Buswelu Center - Mwanza tuna tatizo sugu la kukatika kwa umeme, tumeripoti TANESCO ila hata hatuwaelewi

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza. Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, hasa nyakati za jioni (kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku). Tatizo...
  15. JamiiForums Tanzania KERO HR vyuo vikuu vya Tumaini Makumira na Tumaini Dar es Salaam (Dartu) kuna tatizo gani? Mnaita watu kwenye interview halafu mnapotea mazima. Kulikoni?

    1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha. Walikuwa disorganized balaa na mazingira yalikuwa very hostile lakini hatimaye interview ilifanyika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Mtaa wa Bi. Mtambo, Kimara-Stopover tuna changamoto kubwa ya maji

    Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kimara Stopover, Mtaa wa Bi Mtambo (upande wa kushoto ukitokea Kimara). Kwa muda mrefu sasa wananchi wa eneo hili tumekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Haifai: Mtu akikueleza tatizo usikimbilie kumshauri.

    Wengine wanataka tu mtu wa kumsikiliza ajihisi nafuu. We kukimbilia kumshauri ni kama unadogosha tatizo lake. Unakuwa kama unamuona hana akili anahangaika na katatizo kadogo ambako wewe unaweza kusolve ndani ya dk chache tu. Mtu akikueleza tatizo au changamoto anayopitia kwanza acknowledge...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wahadhiri nao walalamikia Mfumo wa PEPMIS, washindwa kupandishwa daraja licha ya kukidhi vigezo vyote

    Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo. Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na sharti la mfumo wa PEPMIS (Performance Evaluation and Project Management Information System), licha ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye SIMI smart board

    Habari wakuu, Smart board aina ya SIMI inawaka na kuishia kwenye Logo ya SIMI na Kisha kuzima na kujiwasha Tena, msaada please
  20. JamiiForums Tanzania Israel inawapenda sana wapalestina Tatizo dini yao inawapotosha sana!!!!

    Mwimbaji wa Israeli Idan Raichel alishiriki katika mahojiano jinsi alivyopokea picha yake hivi karibuni kutoka Gaza. Askari wa Israeli alimtumia picha ya zamani ya Idan akiwa na baba kutoka Gaza na mtoto mchanga kwenye kitanda cha mtoto. Raichel alielezea kwamba hii ilipigwa wakati wa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…