Habari ndugu Wana jf.
Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa...
Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi.
Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko matumizi yetu watanzania.
Sasa haya ya kukatikakatika kwa umeme yanatokana na nini? Kama ni mgawo tena...
Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
Pre-amble: Naongelea Dunia kwa Ujumla na Sio Nchi / Taifa
Ni kawaida kwenye Ubepari kutokea tatizo la overproduction; na hili likitokea wazalishaji wanapunguza uzalishaji jambo ambalo linasababisha uchumi wa wakati huo kushuka na matatizo ya ajira... Kinadharia Over Production inasababisha...
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
Nimefanya utafiti binafsi nimegundua hakuna tatizo la ajira nchini Bali tatizo la kifikra na kimaslahi la viongozi tuliowapa dhamana.
1. SEKTA YA KILIMO MIFUGO
Hii ndio UTI wa mgongo wa taifa letu, katika watu milioni 60 waliopo nchini karibu million 30 ni wakulima waliopo mijini na vijijini...
https://youtu.be/aGuiTB1XX_0?si=sFKk6zISM0uq2XBb
Wakati maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025 yakiendelea, Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema makundi mawili yanayosigana juu ya uhuru na haki yanapaswa kukutana na kukubaliana kwanza kabla ya kuingia kwenye...
Ndugu zangu kwema?
Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha...
Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC ...
Habarini wanajukwaa la SPORTS.
Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo.
Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke...
Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu.
Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's:
1. VITA VYA KAGERA,
2. UJAMAA,
3. HUJUMA ZA KIBEPARI,
4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's
5...
Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha.
Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk.
Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?