tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    Salaam, Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

    Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma? Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake.. Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe wa RITA kwenye kuhakiki cheti cha kuzaliwa una maana gani

    Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
  4. O

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kuipenda Organic Chemistry, sijawahi kujibu maswali yake ila nikifaulu

    Kuna changamoto kubwa katika ufundishaji wa hii part ya chemistry ukitaka kujua chemistry ni rahisi sana hata kwa mjinga kufauku bila kusoma na kuelewa kwa sababu wengi Wana kalili sana, tatizo kubwa hata walimu wa Hilo SOMO wakifika kwenye hivi vipengele hawajui kuelewesha wanafunzi kama...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la mfupa kujiunda kwenye msuli baada ya kuumia

    Majeraha yanaweza kupelekea hali isiyo ya kawaida ya Mfupa kujiunda kwenye tishu (Myositis Ossificans) ni hali isiyo ya kawaida ambayo mara nyingi hutokea kwa wanariadha wanaopata jeraha ambalo husababisha kutokwa na damu ndani kwa ndani, kwenye misuli ya ndani. Kutokwa na damu nyingi ndani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wasanii -Bongo movie siwaoni Energy Summit, tatizo lugha?

    Nilitegemea kama mlivyojikusanya Dodoma Mkutano Mkuu Mbogamboga na hapa Africa Energy Summit muwe wengi vile vile au lugha mzozo?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Uric Acid

    Habari za jumapili wana jukwaa wote. Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid. Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake. Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO...
  8. JamiiForums Tanzania kiwanda cha bia TBL kuna tatizo gani?

    bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani? Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo ulipo zinapatikana? uongozi wa TBL tunaomba mtueleze kwanini bia zenu hazipatikani? sisi wateja wenu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kesho mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati huku Arusha-Arumeru tumekesha na Giza: Tatizo ni Nini?

    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme tuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kukasirika kwa vitu vidogo vidogo sana naombeni msaada.

    Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea. Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind. 1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukimsaidia Mbongo jambo au fedha, kila tatizo atataka umsaidie tena. Hii ni ishara ya Low IQ

    Hi! Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu. Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua kaunta book za watoto wake. Anapiga simu kama ugomvi. Nilomsaidia mtu kupata kazi mahali kipindi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo la Halotel Mobile Wife mFi_0428F2

    Habari wana jukwaa. Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo. Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia connecting....then inaconnect halafu baada ya sekunde 30 inaleta insert sim. Wakati mwingine ukiiwasha...
  13. JamiiForums Tanzania PC ghafla haiwaki, tatizo linaweza kuwa nini?

    Habarini wakuu, Natumia Laptop HP lakini ghafla tu ukichomeka chaja hairespond chochote wala haiwaki chochote. Tatizo linaweza kua nini hapa?
  14. JamiiForums Tanzania Je, tatizo la Stroke linaweza kupona?

    Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umri laendelea kuitesa Yanga: Yang'olewa Klabu Bingwa Afrika -CAF

    Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani. Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina tatizo la kupenda kufanya mapenzi nahitaji njia ya kuacha ama kupunguza

    Kama kichwa cha habari husika Nimejichunguza vya kutosha nashindwa bado kujipa majibu ya uhakika… ni mimi nina tatizo ama ni hali ya kawaida tu kwa kila mwanamke Mimi sio mwenyeji sana kwenye hiyo sekta ya kunyanduana bado sijakomaa hivyo so inanifanya wakati mwingine nijishtukie mno haswa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Utumbo mpana kuwa mrefu kupita kiasi (dolichocolon)

    Hello wanafamilia, Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation. Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa ni upasuaji unaohusisha kuukata/kuupunguza utumbo. Ninaomba uzoefu kwa mlioona ,kusikia au kupitia...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la masikio

    Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna tiba mbadala. Shida niliyoipata tokea nipime usikivu zile sauti za vipimo huwa zinajirudia masikioni...
  20. JamiiForums Tanzania HItimisho: Hayati Magufuli alikuwa tatizo ila shida kuu ni CCM

    Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea? Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…