tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tatizo la dini ni waumini wake kujikita kwenye mambo mepesi na kuacha mazito yanayogusa binadamu wenzao

    Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka. Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
  2. Bezecky

    JamiiForums Tanzania OMBI MAALUM KWA LISSU: Tunajua utashinda tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali

    Mhe Tundu Lissu tunajua utashinda Uchaguzi huu kwa zaidi ya 80% Ombi letu sisi wafia chama tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf pale Makao Makuu ya Chama, Tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali hakuna asijua hili
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

    Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu. Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote. Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi! Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA. Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani All these boil down to one cause: Kuna nati fulani...
  4. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CHADEMA ni kukosa wazee wa ushauri ndiyo matokeo ya kinachoendelea sasa

    TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa wazee wa Ushauri ni aibu na ndio matokeo ya minyukano inayoendelea kipindi hiki cha Uchaguzi wa wao wa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!

    Dadadeki! Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana. Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti. Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti. Sijui mtoto wa muasisi. Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu...
  6. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania YouTube videos kugoma kupakua.

    Hello guys, Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie. Natanguliza shukran
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  8. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuishiwa nguvu mara kwa mara

    Habari ndugu wanajamii forum! Mimi nina mke wangu anasumbuliwa na tatzo la kuishiwa nguvu mara kwa mara,kuna wakati anakosa nguvu na kulegea kabisa hadi mtu unaogopa,tumeshaenda hospital na kupima kila aina ya kipimo, kama pressure,Moyo,eco,hiv, maleria na wingi wa dam pia uko vzuri tu na kila...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  11. chakii

    JamiiForums Tanzania Kumbe hatuhitaji Katiba mpya kuwaondoa CCM madarakani, tatizo tunaongozwa na viongozi waroho

    Wakuu... Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,. Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali...
  12. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

    Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  14. Bravoozi3

    JamiiForums Tanzania Nikipata shida nasaidiwa sana na wanawake, hii inasababishwa na nini?

    Mimi ikitokea nimepata tatizo napata msaada na support kubwa sana kutoka kwa wanawake. Hata kipindi nasoma wasichana walipenda kushirikiana na mimi katika discussions na walinisaidia materials ili nifaulu, na endapo nilifeli walijikusanya hata wasichana watano kunipa ushauri. Sasa ni mtu mzima...
  15. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na hichi chombo foleni haitakuwa ni tatizo kwako

    Hichi kifaa kinaitwaje na kinauzwa bei gani? Nataka niwe naruka angani niachane na hizi foleni za barabarani.
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wazima wanaogua tatizo la kutembea usingizini(sleepwalking)?

    Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo. Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa...
  18. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maandishi kujirudia kwenye display, Masada natatua vipi?

    Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya katika utumiaji wa simu yangu. Iko hivi mara kwa mara nikiwasha simu kama ilikuwa imelala imekuwa...
  19. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  20. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena Baada ya Miaka 2 kwa changamoto za kusahau password, hili tatizo JF mlitizame.

    Kwa kipindi cha muda mrefu niliacha kutumia JF almost 1year na baadae kurudi nikawa nimesahau password yangu, changamoto ilikua kubwa zaidi pake ambapo details zangu nilizofungulia account yaani email na password pia kwa wakati huo siku kwenye matumizi navyo. Kitu pekee nilichokua nacho kichwani...
Back
Top Bottom