Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba
Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi?
Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi.
Fun enough...
Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani.
Je, tatizo ni mfumo wa elimu unaotoa maarifa bila malezi? Au ni familia zinazokimbizana na maisha hadi...
Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
afrika
bara
hoja
kusikia
mikwara
mpinzani
mtanganyika
nyerere
polisi
rais
rais wa tanzania
rais wa zanzibar
siasa
siasa za afrika
tanzania
tanzania bara
tatizo
usa
utamu
zanzibar
Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo...
Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu...
Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆♂️, kumbe hiyo ni zuga tu.
Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile...
Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela
Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
Kabla ya kuachia Uwenyekiti wa Chama chake, ilikuwa siyo rahisi siku ipite bila kutupiwa dongo!
1. Mara Mwenyekiti wa maisha...
2. Mara CHADEMA ni SACCOS yake...
3. Mara CHADEMA ni Chama cha Wachaga...
4. ...n.k.
Baada ya kuuachia Uwenyekiti, kibao kimegeuka. Mashambulizi yaliyokuwa...
Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0.
Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
Waafrika mara nyingi ndio TATIZO la Afrika.
Jenerali Michael Langley ambaye ambaye ni Mwafrika aliyemshutumu Kapteni Ibrahim Traoré kwa kulinda dhahabu ya Burkina Faso kwa faida zake binafsi imekaribishwa kwa joto na serikali ya Ivory.
Hii inaonyesha wazu jinsi viongozi wengi wa Kiafrika...
HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada tafadhali
Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii.
Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii
Karibuni sasa tu share picha zao...
Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na matatizo kadhaa yanayotukabili katika Taifa letu.
Kwa ufupi naomba tutathmini ikiwa njia tunazotumia kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe au la?
Kwa kawaida ukitumia njia sahihi kutatua tatizo ulilo nalo, bila shaka tatizo hilo litakwisha na...
Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa?
Mshahara mdogo?
Matumizi mabaya ya fedha?
Au kuto kuwekeza?
Hellow!
Hili limesababishwa na Nini?
Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka,
Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii?
Karibuni 🙏
Watanzania wengi kichwani . Ukipiga stori na Mtanzania mwenzako utagundua hili.
Ni wachache sana ukikaa nao mezani kupiga stori utaweza kuondoka na kitu. Wengi wataishia kuropokaropoka tu.
Hii hali ya miongoni mwa Watanzania Mimi sijui ni man made au ni genes.
Vyovyote vile iwe man made au...
Hellow!
Hasira inaruhusiwa, ila hasira lazima iwe na limit, usikasirike Hadi kuwa wendawazimu.
Tatizo lililopo nchini petu ni la kimfumo,
Kwamba katiba tuliyoitengeneza kwa Nia njema kumpa kiongozi Mkuu mamlaka makubwa Ili kutenda haki na Majukumu yake bila kusumbuliwa, mwanya huo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.