tatizo la ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unko T

    Wizara ya Ajira ina mipango gani bunifu kutatua tatizo la ajira nchini?

    Wa-Salaaam! Katika hizi siku kadhaa nimeona matangazo ya Halmashauri mbali mbali zinatafuta vijana kufanya shughuli ya anwani za makazi na postikodi. Kwa kweli muitikio ulikua ni mkubwa sana, kwa macho yangu nimeshuhudia sio chini ya bahasha 5000 - 6000 kwa kazi wanayohitajika vijana 250 wenye...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Tunahitaji propaganda mpya iliyosimama Kupunguza tatizo la Ajira. Serikali mpoo!

    TUNAHITAJI PROPAGANDA MPYA ILIYOSIMAMA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa zaidi ya 80% ya maisha ya mwanadamu yanaongozwa na Propaganda. Iwe propaganda nzuri au mbaya. Iwe Kwa wazungu, wachina, waarabu au Waafrika, propaganda Kwa sehemu kubwa ndio hufanya watu wawe na...
  3. J

    Hakuna mwanasiasa anazungumzia tatizo la ajira Tanzania, wengi wamejikita kutoa misaada ya matundu ya vyoo na taulo za kike

    Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu. Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo. Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali...
  4. SubTopic

    Serikali tegeni ndoo mahali panapovuja, tutapunguza tatizo la ajira nchini!

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Nadhani kwa wale tuliowahi kuishi nyumba zinazovuja mtanielewa kwa haraka. Mvua inapokuwa inanyesha sehemu za paa zenye matundu huanza kuchuruza maji na ili kupunguza tatizo huwa tunatega chombo kwa ajili ya kuyakinga yale maji yanayovuja. Sasa turudi kwenye mada...
  5. Kipenzi Changu

    Kabla kijana hujalalamika ajira, Je unaaaminika?

    Hii video ni jamaa wa Kenya,anayolalamika ni mambo yanayotokea Tz kwa kiwango kikubwa sana. Mtakubaliana na mimi kuwa Kundi kubwa la vijana hawaaminiki na kuwapa kazi katika shughuli zetu za ajira binafsi, ujitoe akili. Nazungumzia ajira ndogo ndogo kama Salon, Mpesa, Duka, shamba, gari...
  6. Midevu

    Sio mbaya kuiga ubunifu huu wa majirani ili kupunguza tatizo la ajira

    Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao. Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
  7. skilled masala

    SoC01 Maadhimisho ya Sherehe za Nane Nane yatatue tatizo la Ajira kwa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini

    Masala sayi 08, August 2021 Chuo Kikuu cha Iringa. Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
  8. MaalimJohn

    SoC01 Ni kwa namna gani tutapunguza tatizo la ajira kwa vijana kutoka vyuoni

    NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu Ila kwa elimu...
  9. J

    SoC01 Tutumie ubunifu wa vijana kupunguza tatizo la ajira

    AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua. Ni imani yangu ya kuwa hakuna suluhisho la moja kwa moja la kutatua tatizo la ajira kwa vijana Tanzania...
  10. Ibun Mallik

    SoC01 Tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  11. Ibun Mallik

    SoC01 Sababu za tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake Tanzania

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  12. J

    SoC01 Tuanzishe Benki ya vijana kupunguza tatizo la ajira kwa vijana

    Ajira kwa vijana Tanzania imekuwa changamoto endelevu inayohitaji mbinu mbalimbali za utatuaji. Jitihada kutoka kwa serikali na sekta binafsi zinahitajika ili kuweza kutatua changamoto hii ya arija kwa vijana. Mara nyingi wataalamu mbalimbali wametoa angalizo juu ya ongezoko la vijana wasio na...
  13. T

    Namna ya kutatua tatizo la ajira Tanzania

    Naomba niongee kuhusu vijana wanaomaliza kidato cha sita na kupangiwa kwenda mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, sikatai ni kweli wanaenda kufundishwa mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama pamoja, uzalendo na uzalishaji mali lakini tija ya maarifa wanayoyapata vijana hawa imeshindwa kabisa...
  14. K

    SoC01 Ubinafsi ndio chanzo cha tatizo la Ajira

    Ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanao maliza vyuo vikuu,vya kati na vyuo vya ufundi umepelekea kuleta change moto ya ukosefu wa ajira katika Taifa na Dunia Serikali na wadau mbalimbali ikiwemo mashirika yasiyo ya kiserikali wametoa na kuendelea kutoa mchango waho juu ya kukabiliana na tatizo...
  15. G

    Siku Moja inatosha kupunguza tatizo la ajira Tanzania kwa Asilimia 10

    Habari wanajukwaa. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada. Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
  16. B

    Suluhisho la tatizo la ajira

    Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki simujanja (smartphone). Je, vipi kama tukiwa na application ambayo inaweza kuwa sehemu ya watatufutaji...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Ningekuwa Mkuu wa Wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu

    Ningekuwa ndio mkuu wa wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu. Hizi ni hatua ambazo ningechukua. Kwanza ningetambua idadi ya wahitimu wote wanaotokea wilayani kwangu. Ningehakikisha kama hawana kazi za kufanya nawatafutia kampuni, taasisi na viwanda vya...
  18. K

    Umati wa usaili UDOM: Tunahitaji mjadala wa Kitaifa kuhusu tatizo la ajira nchini

    Leo asubuhi nimemleta mtu hapa UDOM kuhudhuria Usaili wa kazi za Utumishi, hakika watu ni wengi. Binafsi nliyemleta ameitwa kwenye Usaili wa nafasi za National Audit, only 10 kama sio 20 nafasi lkn wameitwa watu sio chini ya 3400, yaani watu hao ndio wapatikane only 20 people. Kibaya zaidi...
Back
Top Bottom