Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
Karibuni kwa maada .....
Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa wanachukuliwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Wakati huu, waumini wanajikusanya kuwakumbuka na kuwasifu...
Nimepata kukutana na picha inayoonesha kalenda Jeshi la Magereza, kalenda ya mwezi wa Oktoba na kukutana na tarehe 32 Oktoba 2024.
Je, ni kwamba wamekosea au wapo sahihi!?
https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60
Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne.
Shirika limewahimiza wateja wake wote kununua umeme wa kutosha mapema nje ya muda wa maboresho ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza...
Chadema ni lini watapata funzo kuwa wananchi hawataki upuuzi wa maandamano basi wameshindwa kutumia njia mbadala kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha wanaBwaza upuuzi kila kukicha usio na mafanikio!
“Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari.
Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
Hapo vip!!
Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu.
Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea.
Admin naomba usave hii post kwa...
"Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo).
Mnaweza kusema...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Lissu amewataka Watia nia...
Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani.
Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri.
Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
Wakuu mimi bado masikini,nipo napambana najitafuta.Kwa muda mrefu nimejichanga kutafuta ka mtaji nikapata. Nikatafuta kasehemu nikafungua local grocery,yani ni ya kawaida sana.Biashara ikaanza kwa mwitikio mzuri tu si haba.
Siku kadhaa baada ya kuanza,mama mwenye nyumba ambaye anaishi hapohapo...
Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda.
Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa.
Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa.
Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...