Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi?
Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior.
The smartest people had seen that coming… Job, Mpango, Diwani, Gwajima, Mpina, and now… Polepole – na wapo...