tapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    NILIVYOMKOMESHA TAPELI WA VIWANJA KIVULE Habari zenu wadau wa JF! Leo nami nimeonelea niwasimulie kisa changu jinsi nilivyomkomesha tapeli maarufu wa viwanja maeneo ya Kivule ajulikanaye kama Juma Kasangu,mnamo mwaka 2014 mwanzoni nikiwa katika harakati zangu za kutaka kujipatia eneo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Ukweli huu shetani ni tapeli na uwezo wake ni mdogo sana

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza swali dhidi ya uwezo na mapenzi ya shetani kwa wafuasi wake najikuta naona shetani ni tapeli na muongo. Najiuliza kama kweli shetani anauwezo wa kushindana na Mungu. Mbona Mungu baba Jehova(bwana wa Majeshi au bwana wa mabwana)alivyoamua kuwapiga kiberiti wale...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri. Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyetapeli kwa kujiita Afisa Usalama wa Taifa akamatwa Iringa

    Gabriel Kaserikali Mkazi wa Mbezi Mwisho, Dar es salaam anatuhumiwa kumtapeli Mohamed Nassoro mfanyabiashara wa magari wa Magomeni Dar es salaam kwa kujitambulisha ni mtumishi kutoka Idara hiyo Akiwa Iringa alijitambulisha kwa baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Iringa kuwa yeye ni Afisa...
  5. JamiiForums Tanzania Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

    Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar. Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

    Ni kumchana live tu. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Mnakumbuka story ya Raia Mwema - Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu. Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye hii namba +255784686681 ni tapeli.

    Wakuu kuna mtu anatumia hii namba +255784686681 kutuma sms kwenye simu mbalimbali na kujifanya yeye ni ofisa wa jeshi la wananchi kwamba kuna nafasi zimetoka apigiwe simu, ukimpigia na kumhoji maswali akishagundua umemstukia unaishia kuambulia matusi. Namba imesajiliwa kwa jina la Gervaz Lyeiza
  9. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumshtaki wakili tapeli TLS?

    Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya mawakili kuwatapeli wananchi kwa sababu ya kutojuwa sheria na mawakili hawa kuutumia umbumbumbu wa sheria wa wananchi kuwafanyia matendo ya dhulma badala ya kuwapa elimu. Sasa nauliza TLS wana kitengo kama una malalamiko na uadilifu wa wakili fulani kwenda...
  10. JamiiForums Tanzania Nabii Bushiri building a multi billion dollar city

    Baada ya kutapeli south Africa fweza za kutosha jamaa ameamua kuwekeza Kwenye real estate. DUNIA hii Ina mambo
  11. B

    JamiiForums Tanzania RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  12. JamiiForums Tanzania Taja dalili za mwanamke tapeli kwenye mapenzi

    Mambo vipi wadau natumaini mko poa kabisa, Naomba tupeane uzoefu wa kumtambua binti anaeigiza matendo ili kukufanya ujione mjuzi kwenye mahaba kumbe wapi anakuigizia tu au tapeli kabisa ili akupige mpunga mwingi, Naanza mimi:- 1. Ukimpiga denda tu anaanza kutoa miguno - broh huyo demu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  14. JamiiForums Tanzania Polepole: Sina muda wa kukaa kwenye mdahalo na Bulembo, ni muhuni na tapeli aliyedhohofisha jumuia ya wazazi.

    "Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya @ccm_tanzania ) " @hpolepole https://t.co/y8F1t3J0Y9
  15. JamiiForums Tanzania Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli. "...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

    Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhali, Tapeli Uzunguni Kilimani Dodoma

    Jamani ndugu zangu wa Dodoma Mjini hasa wale mnaoishi maeneo ya Uzunguni Kilimani, nimepata lalamiko toka kwa rafiki yangu mmoja ananiambia hapo uzunguni kuna jamaa TAPELI MITAA HIYO kuweni makini naye, jamaa yangu anadai katapeliwa na huyo ndugu pesa yake. Inasemekana huyo tapeli ni mgeni...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    "Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hushpuppi tapeli la kinaigeria na genge lake walivyomtapeli Mqatari 1.3 million dollars

    By Vincent Achuka Reporter Nation Media Group As an unwritten rule in all global Internet frauds, no matter the amount of money stolen or the friendships that exist between gang members, all scams end when the scammers turn on each other. On Thursday, the United states indicted Kenyan...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tapeli Mkenya Abdul Juma ndie alipelekea Hushpuppi kukamatwa

    Mzuka wanajamvi! Yule Tapeli maarufu kutoka Nigeria alipata umaarufu kwa kugonga vichwa vya habari duniani kwa utapeli mitandaoni na kujipatia kiasi kikubwa cha mamilion ya dollars za kimarekani Ramon Abbas almaar Hushpuppi juzi Alhamisi kafunguliwa kesi rasmi na FBI. Ila cha kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…