tapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hivi Wahaya ndio wana sifa kiasi hiki au huyu ni tapeli tu?

    Daah Nakutana na vituko gani sijui Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa...
  2. Pdidy

    Yaani ukifungua Fb kila mtu daktari wa mashine zilizolegea na kuwahi kumaliza, hamna kazi? Wengine tapeli watupu

    Mbona mmeanza kutuogopesha wajamene Yaan kila ukifingua fb unakutana na sijui unatatizo la kuwahi kutandani Una tatixo la mashine kulegeaaaa Wengine vidada nahisi kama vina tumia majina ya kike kytapeli na pengine n wanaume Yaan leoo wamejazana na madaa mpya U a.Kibamiaa piga namba xyz...
  3. Fbn

    Huyu ni Tapeli pro max

    Sijui kwa nini wana muamini huyu jamaa na media uchwara zikimpa umakini. Una kwambia ana udongo wa upako sasa.
  4. S

    Tetesi: Kingekitile Ngwale alikuwa Tapeli?

    Nawaza sana kuhusu Kinjekitile Ngwale. Huyu mhenga aliwezaje kuwashawishi watu wa wakati wake kuamini kuwa “ Maji Maji” yangewazuia risasi za mkoloni? Je, watu wa Kilwa na maeneo mengine walikuwa wajinga? Au walikuwa watu wanaotafuta tumaini katika mazingira ya kukandamizwa kupita kiasi? Je...
  5. Pakome

    Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano ili ufe nao kinyume na hapo wewe ni Mhalifu na Tapeli

    Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa ni namna gani uliwapenda mpaka ukaamua kufa nao na sio wao wafe kwaajili yako huku ukiwa umebakia...
  6. ngara23

    Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

    Yanga sio sehemu ya wanafunzi kufanya field Folz sio coach Bali ni tapeli tu Binafsi simhukumu Kwa matokeo ya Leo huko Mbeya, Mimi kama mwanamichezo naelewa hayo ni matokeo ya kawaida katika ligi Huyu coach ni tapeli ana bahatisha Kwa foundation course yangu ya coaching hizi ndo mbinu...
  7. tamu 3

    Komesha ya wanaume tapeli

    Nilipata mwanaume humu tu 🤣🤣🤣🤣😅😅😅bas akanambia njoo tuonane njoo kwanauli yako ukifika nakurudishia nikaenda tukacheki afya vzr tu tukalala bas bwana asubuhi naamka hapo kitandani gest nakuta hayupo kasepa nauli hajaach ht sh mia 😬😭 nikampigia akanambia hiyo ndo dawa ya wanawake wa fb Mimi...
  8. Kimbesa11

    Kwenye siasa utekelezaji wa Ilani ya chama unaongea maelfu ya maneno kwa Wananchi kuliko usambazaji wa chuki, wivu, upotoshaji na uongo kwa jamii.

    Tunashida kwenye ufanyaji wa siasa hatuna siasa za hoja, tunasiasa za kujengeana chuki na kupotosha watu, hatuna siasa za kwanini chama X na si chama Y Nashangaa kuona mtu mzima kabisa anafamilia eti anaamini watu watakipigia chama kingine kwasabu ya upotoshaji wake hii HAIPO huu ni ujinga wa...
  9. A

    Kesho 10 za Gwaji Inaisha. Tumaikie atabwabwaja nini Tena,

    Tangu 15 Hadi 25 kesho ndiyo dedilaini ya jamaa Gwaji. Tutegemee nini kutoka kwake.
  10. chiembe

    Tapeli mkuu wa kisiasa aliyeahidi kuwahamisha wakazi wote wa Kawe na kuwapeleka Birmingham

    Hivi tunakumbuka uongo huu mkubwa kuwahi kutamkwa na maana siasa? Mpaka leo hajamkatia hata passport house girl wake! Hajatubu!
  11. The Father of All

    Sijaona tapeli kama Gwajima

    Baada ya domo lake kumponza, sasa Gwajima anatapatapa na kutafutwa kuonewa huruma. Anabwabwaja akidhani watu wote ni mazwazwa kama yeye. Anasema hili leo na kesho lile. Anajipiga mitama mwenyewe. Sasa acha akione cha moto na asionewe huruma wala kuaminiwa. Alidhani angewatapeli CCM asijue ni...
  12. Yoda

    Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
  13. Griss

    Je, Polepole ni tapeli ?

    Hazungumzii kabisa reforms Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .? Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta...
  14. ngara23

    Kila mtu wa Dar ni tapeli

    Dar Kuna nini? Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli. Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü Ukimwagiza mahala anapotea Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna...
  15. S

    Hii namba *152*00# ya NSSF haileti menu kama inavyotarajiwa

    Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye kuingiza namba yako ya uanachama huwezi kuendelea zaidi ya hapo. Itakuambia ujumbe wako umetumwa...
  16. Royal Son

    Kisa cha tapeli aliyeuza uwanja wa ndege Nigeria

    🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana waliowahi kufanikisha kile alichokifanya Emmanuel Nwude, raia wa Nigeria ambaye alitapeli benki kubwa ya...
  17. M

    Hivi ni kweli kabisa? Kwa miaka zaidi ya Ishirini, Chadema hamkujua Mbowe ni Tapeli wa kiaiasa?

    Katika mambo ambayo Chadema mliferi na kusababisha safari yenu kuelekea Ikulu kuwa ngumu, ni kukaa miaka na miaka na mtu ndumila kuwili Mtu huyo, badala ya kung'amua mapema nyendo zake kisha kumtimua, bahati mbaya kabisa, yeye aliwasoma nyinyi nyote Mbowe anawajua wote wenye misimamo mikali...
  18. F

    Kwanini hatusemi tapeli, jambazi n.k wanakipaji cha kuzaliwa? Kwani kipaji ni nini?

    Kipaji ni Nini, na Kwa Nini Hatusemi Tapeli au Jambazi Ana Kipaji? Katika jamii zetu, mara nyingi tunasikia watu wakisifiwa kuwa na vipaji vya kipekee—kama kucheza mpira, kuimba, kuruka sarakasi au kukimbia kwa kasi ya ajabu. Mtu akionyesha uwezo wa ajabu, husemwa “amezaliwa na kipaji.” Hii ni...
  19. PSEUDOPODIA

    kuna tapeli yupo Moshi linatapeli watu na dola feki

    Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki, Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya...
  20. FYATU

    Neno au jina "tapeli" lilitokea wapi?

    Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa...
Back
Top Bottom