kuna tapeli yupo Moshi linatapeli watu na dola feki

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
429
Reaction score
925
Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,

Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya kibongo...ndo unakuwa ushatapeliwa hivyo..ukienda benk unaambiwa hilo ni karatasi...tuweni makini
 
Ni ishara tosha kwamba hapo moshi hamna akili za kutosha. 🙂🙂
 
Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,

Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya kibongo...ndo unakuwa ushatapeliwa hivyo..ukienda benk unaambiwa hilo ni karatasi...tuweni makini
Wewe kwanini ukubali kulipwa kwa dola? Hata kama zisingekuwa feki huoni ni kujipa risk isiyo ya lazima kwa jinsi dola inavyoshuka na kupanda kila dakika? Msipoacha tamaa mtaendelea kupigwa tu.
 
Tuweni makini jamani, kunatapeli kwa sasa yupo Moshi anatapeli watu na dola feki,

Ni mzee wa makamo mnene mweupe, anajifanya ana lafudhi ya kiislamu, yupo na kijana wake wanakuja na alphard dukani kwako wananunua bidhaa, kisha anakulipa na dola, then utamrdishia chenji kwa pesa ya kibongo...ndo unakuwa ushatapeliwa hivyo..ukienda benk unaambiwa hilo ni karatasi...tuweni makini
Cc Tanganian
 
Lafudhi ya kiislamu ndo ikoje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom