tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi (Baraza la Mawaziri Zambia) atembelea Banda la Tanzania

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri Zambia) Prof. Lackson Kasonka atembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya kilimo na biashara Zambia, apongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI na MZRH
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC

    Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (Joint Permanent Commission – JPC) kati...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapotenga bajeti ya kujenga magereza mengi ijifunze kutoka nchi ya Uholanzi

    Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania. "Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote." "Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo tayari kuhudumia ukanda wa SADC MOI na MZRH zafungua fursa mpya ya utalii wa tiba nchini Zambia

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi na Tiba Utalii (Medical Tourism), kufuatia kuwasili kwa jopo la madaktari bingwa na mabingwa bobezi nchini Zambia kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (MZRH)...
  6. JamiiForums Tanzania LNG, LPG na CNG: Tofauti Yake Ni Ipi, na Tanzania Inapaswa Kuwekeza Zaidi Kwenye Ipi?

    Mara nyingi tunasikia majina haya matatu—LNG, LPG na CNG—lakini kwa Mtanzania wa kawaida ni vigumu kuelewa tofauti zake na matumizi yake. Ningependa wataalamu wa nishati watuelimishe kwa lugha rahisi: LNG ni nini, na hutumika zaidi wapi? LPG ni nini, na kwa nini ndiyo gesi inayotumika...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Terrorising Academic Freedom in Tanzania

    Author: Issa G. Shivji, Professor Emeritus, University of Dar es Salaam | Source: CODESRIA Bulletin Online, No. 10, July 2026 The Arrest of Melkisedeki Kitunzi Kaijage Melkisedeki Kitunzi Kaijage, an assistant lecturer in Political Science and Public Administration at the University of Dodoma...
  8. JamiiForums Tanzania A Voice of Courage in an Age of Silence: Kudos to Professor Issa Shivji!!

    M. M. Mwanakijiji Professor Issa Shivji remains a flickering light of intellectual courage atop a hill darkened by clouds of fear and compromise. Among Tanzania's intellectual elite—in academia, the legal profession, and public service—Shivji is often viewed as a troublemaker. For more than...
  9. JamiiForums Tanzania Mwakinyo; nikiacha ngumi, mchezo wa ngumi utakufa kabisa Tanzania

    Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa Siku za hivi karibuni katika mahojiano na B12/DAZEN Kuna maelezo amekaliliwa akisema kuwa ikitokea akaacha mchezo wa ngumi...
  10. JamiiForums Tanzania Kenya nzima IPO gizani, wenda Tanzania ikawa gizani siku 3

    Kenya nzima IPO gizani, wenda Tanzania ikawa gizani siku 3
  11. JamiiForums Tanzania 5 Days Marangu Route Kilimanjaro Climbing Tour | Classic Hut Route Tanzania 2026/2027

    5 Days Marangu Route Kilimanjaro Climbing Tour | Classic Hut Route Tanzania 2026/2027 AbOut.... 5 Days Marangu Route Kilimanjaro Climb | Classic Hut Route with Local Guides Tanzania Join the 5 Days Marangu Route Kilimanjaro climb with Generous African Tours. Trek the famous Coca-Cola Route...
  12. JamiiForums Tanzania 6 Days Machame Route Kilimanjaro Climbing Tour | Short Machame Route Summit Adventure Tanzania 2026 , 2027

    6 Days Machame Route Kilimanjaro Climbing Tour | Short Machame Route Summit Adventure Tanzania AbOuT 6 Days Machame Route Kilimanjaro Climb | Local Kilimanjaro Guides Tanzania 🏔 Climb Mount Kilimanjaro through the 6 Days...
  13. JamiiForums Tanzania 9-Day Tanzania Family Safari with Older Children

    Discover the ultimate Tanzania Family Safari itinerary designed for older children, combining adventure, education, and unforgettable wildlife experiences across Tarangire National Park, Ngorongoro Crater, and Serengeti National Park. This 9-day Tanzania safari package is ideal for family...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, Agosti 5-6, 2026

    Kwa Mara ya Kwanza Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika. Mkutano huu unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 5 – 6 Agosti 2026 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere. Mkutano...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi tanzania limekuwa la ovyo na linazidi kuwa la ovyo.

    Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu. Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi hawezi kuwa nayo na zile silahaa kwa mtu kama afande muriro mstaafu japo yupo kazini mara moja kwa sifa...
  16. JamiiForums Tanzania Unakumbuka MV Bukoba basi hapa Tanzania msitake sifa hapa JF

    ILIVYOTOKEA AJALI YA BOTI. KULINGANA na Hussein Ajali "Chishango" aliyekuwa anaendesha Boti amesema Engine zote 2 za Boti zilizima wakawa wanapelekwa tu na mkondo sehemu ambayo hakuna mawasiliano ya simu, bahati nzuri wale wazungu mmoja simu yake ilikuwa na internet ndo akatuma email ubalozini...
  17. JamiiForums Tanzania Ujio wa kocha Ben Lee waipa Tanzania fursa ya kipekee ya kuinua mchezo wa uogeleaji

    Tanzania imepiga hatua nyingine katika juhudi za kuendeleza mchezo wa uogeleaji kufuatia kuwasili kwa kocha wa kimataifa, Ben Lee, ambaye atatoa mafunzo ya kiwango cha kimataifa kwa waogeleaji, makocha na wazazi kupitia programu maalumu iliyoandaliwa na Monti International School. Ujio wa Ben...
  18. JamiiForums Tanzania Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

    Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea. Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayokimbiza mwenge kila mwaka duniani. Ndio maana kamwe haitofanikiwa licha ya utajiri wa rasilimali iliyonao

    Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Kennedy Orinyo Nyamanga kuw mkurugenzi mkuu wa urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kupitia ukurasa huu watanzania na viongozi kama Kennedy Orinyo Nyamanga naomba kujiaminisha kuwa mkurugenzi mkuu wa amani na urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Tanzania na pia napenda kuwatakia Kila la kheri,nawatanzania nawatakia amani ya afya katika ardhi ya Tanzania chini ya kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…