tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania ENGINE YA TOYOTA LANDCRUISER AINA YA 1HZ INAHITAJIKA!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania Mnajificha katika hoja ya ushoga ehh? jibuni nondo hizo

    Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa kwenye viroba,sheria ngumu ya mitandao,chaguzi na wapinzani kunyanyaswa,kufunguliwa kesi za kisiasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania na sio Cameroon: Imperialism and Barbaric actions against patriotism

    IMPERIALISM AND PATRIOTISM Nimekuwa najiuliza kwanini Tanzania na sio Cameroon na kwanini Magufuli regime na sio incumbent Paul Biya regime. Cameroon chini ya Rais Paul Biya aliyedumu madarakani kwa takribani miaka 36 na Cameroon iliyo na matatizo lukuki ya ndani tumeshuhudia jeshi ikiwapiga...
  4. JamiiForums Tanzania Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasiasa Wachumia Matumbo, na Siasa za kutekwa na Mkumbo. Pole Tz yangu

    What goes arround comes arround...Wanasiasa hatukuwasikia kutoa tamko la pamoja ktk sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,sasa hv hii sheria ya Vyama vya Siasa tunasikia wamekutana ili kupata tamko la pamoja. Sasa mbona km wanajiwakilisha wao?..na km wanatuwakilisha sisi mbona hatukusikia tamko...
  6. JamiiForums Tanzania Why is once-peaceful Tanzania detaining journalists, arresting schoolgirls and killing opposition leaders?

    As written: Why is once-peaceful Tanzania detaining journalists, arresting schoolgirls and killing opposition leaders? The bad news: among other human rights abuses, the Tanzanian government is targeting Tanzanians who need healthcare the most. Specifically gay and transgender men, school-aged...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Mafao ya PSSSF sheria mpya ya kustaafu

    Ni upi ukweli kuhusu sheria mpya ya mafao ya pensheni? Wengi hawaelewi haswa kinachojiri, na wengine hupata taarifa zinazozua taharuki miongoni mwa walio karibu kustaafu, hasa zile zinazowaambia watapata robo tu ya kile ambacho wenzao walipata kabla ya kutumika sheria mpya. NARUKA!: Haya ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
  9. JamiiForums Tanzania Roho ya Korosho wahenga waliona mbaaaaliiii

    LEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:- Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa waziri wa kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi na mbaazi wako kimya japo nao soko limedoda, imemwondoa waziri wa viwanda na BIASHARA kwa kushindwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
  11. JamiiForums Tanzania Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

    'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ndio CCTV Camera zinavyofanya kazi. Msitufanye mandondocha

    Hii ni salamu kwa Watakatifu wetu Vyombo vyenye Mamlaka, vinavyojua kazi zao vyema na Ambao hawayumbishwi na kelele zetu za Mitandao kuwafundisha kazi. Tafadhalini Angalieni namna CCTV za wenzetu waliopitwa na wakati zinavyofanya kazi. Likitokea Tukio lingine Mtafute namna nyingine ya...
  13. JamiiForums Tanzania Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

    Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Diaspora wetu wana mchango wowote kuisaidia Tanzania kisiasa? Wana any influence kwenye siasa za nchi yetu? Angalia Diaspora wa India

    Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu mchango wa diaspora na influence yao kwenye siasa za nchi zao, hivyo najiuliza, je hawa wana diaspora wetu sisi Tanzania, waliotapakaa ulimwenguni kote, jee wana mchango wowote katika siasa za nchi yetu? Je, wana influence yoyote kutumia their exposure na the...
  15. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na Marekani (2)

    Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala iliyopita niligusia kwa juujuu, maeneo ambayo uhusiano ulikuwa mzuri, hasa kwenye huduma za kijamii...
  16. JamiiForums Tanzania Homeschooling in Tanzania

    There is an urgent need for policies to allow for homeschooling in Tanzania. At the moment the legal and policy landscape does not provide for homeschooling. Now is the time. EDIT 1: WHAT IS HOMESCHOOLING Homeschooling - Wikipedia News - Homeschooling Gains Popularity with Oregon Parents |...
  17. JamiiForums Tanzania Starbucks Yafungua mgahawa wake wa kwanza Milan, Italy

    Starbucks imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini Italia. Mgahawa huo umefunguliwa katika Jiji la Milan, kaskazini mwa nchi hiyo. Mojawapo ya kahawa zinazouzwa ni inayotoka Tanzania na inapatikana hapo kwa TZS 22,000 kwa gramu 100.
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

    Familia ya hayati Devram Valambhia ineifungulia kesi serikali ya Tanzania kwenye mahakama ya District Court ya Columbia Marekani. Kesi hii ni ya serikali kushindwa kuilipa kampuni hiyo madai yake baada ya kuuza vifaa vya kijeshi. Mwanzo lilikuwa deni la $ 55098171.- lakini kutokana na riba na...
  19. JamiiForums Tanzania Wakenya Wamshukia Magufuli Amuachie Gichana (Mfungwa wa Kisiasa kutoka Kenya)

    Kenyans online pressure Magufuli to release jailed Kenyan politician Don Bosco Gichana, a Kenyan who has been jailed in Tanzania since 2013 without trial. [Photo/Trending News Kenya] Kenyans are now piling pressure on Tanzania’s President John Pombe Magufuli to release a Kenyan who has been...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika

    Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…