tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania BoT - Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa wanunuzi Wawekezaji wa Kingeni

    12 August 2026 Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa Wawekezaji wa Kimataifa Tanzania relaxes forex rules to draw foreigners to bonds. 'The reform aims to broaden access to the government-securities market Benefits of Investing in Government Securities Treasury bills and Treasury...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Klabu za Tanzania zinaenda kumlipa mchezaji wa ndani milion $ signing fee, Muhindi kashikwa pabaya. hana budi kucheua mapene.

    Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥 Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali. Hakuna mchezaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Farmer's day in Tanzania

  4. U

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja au taasisi gani duniani? Wizi wa kura au mauaji hayakutokea 2001? Why today

    Hili ni swali la kutafakari very objectively. 1. Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja gani hasa? Umoja wa Ulaya, Marekani, Umoja wa Afrika, SADC, Jumuiya ya Madola na taasisi nyingine za kimataifa zimekuwa na misimamo au hoja mbalimbali kuhusu uchaguzi na matukio ya kisiasa nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Bey Minyodo Tz, kijana wa Tanzania anayewaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti Amekuwa akiungwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu maridhiano na kuliponya taifa la Tanzania .

    Habari wana jf, Huu ndio ushauri wangu kwa Rais Samia , CCM ,Vyama vya Upinzani na watanzania kwa ujumla hususani katika maridhiano na kuliponya taifa kunakozungumzwa . Kwa katiba tuliyonayo tunategemea sana maamuzi ya Rais aliyepo madarakani na CCM , hata mataifa ya nje hayawezi kutusaidia...
  7. JamiiForums Tanzania Meza za kioo na marble kama hizi zinatengenezwa Tanzania?

    Naomba kufahamu kama hizi meza zinatengenezwa hapa Tanzania? Na ni sehemu gani? Au wauzaji wote wananunua china?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  9. JamiiForums Tanzania AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wandondi na Wandwewe yaomba amani Tanzania na Afrika

    Na Mwandishi Wetu. JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano na Ulinzi wa Maisha ya Binadamu. Dua hiyo ni mwito wa pamoja unaolenga kuwakutanisha watu wa imani...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Soko la Yiwu jijini Da es Salaam ni neema kwa wafanyabiashara na wanunuzi wa Tanzania

    Mamia kwa maelfu ya wafanyabiashara Waafrika, Waarabu na Waasia hufunga safari mara kwa mara na kwenda kununua bidhaa zao kwenye soko kubwa zaidi la bidhaa ndogo ndogo duniani lililoko huko Yiwu China. Mji huu, ambao ni wilaya ya viwanda na ni eneo lenye watu wengi, ulioko kwenye mkoa wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  15. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PPP na dira 2050: David kafulila kuwakutanisha wadau Arusha kutafuta njia mpya za maendeleo ya Tanzania yetu

    === Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre) kimeendelea kuhimiza matumizi ya ubia kati ya Serikali na sekta binafsi kama nyenzo muhimu ya kuchochea maendeleo ya wananchi, kuongeza uwekezaji na kufungua fursa mpya za kiuchumi na ajira nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu wadau wa Jf, hivi CHAUMMA wanaendeleaje huko na kampeni yao ya "Tujenge Pamoja Tanzania ni sisi"?

    Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania. kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  19. JamiiForums Tanzania Uislamu umepungua kwa angalau pointi 5 nchini Tanzania na Oman, lakini unakua kwa kasi maeneo mengine ya dunia

    Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani. Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba hali hiyo imesababishwa na kuzaliwa kwa wingi kwa wafuasi wa dini hiyo Afrika huku wafuasi wanaoishi...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…