tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania has Africa's largest rare earth reserves with 890,000 tonnes

    Kwa mujibu wa Africa Minerals Development Centre (AMDC), nchi kuu za Afrika zilizohusika katika uzalishaji wa madini adimu (rare earth minerals) mwaka 2021 ni Madagascar, Burundi, Afrika Kusini na Tanzania. Afrika Kusini na Tanzania kwa pamoja zilichangia takribani tani milioni 1.6 za hazina ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Tanzania ndiyo ikawa nchi ya kwanza jeshi la wananchi kuingia vita na wananchi badala ya kuwatetea

    Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji. Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la polisi na wao kufuata mkumbo. Watu wanaandamano kudai haki yako mkuu wa jeshi CDF anajitokeza kwenye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nashangaa Tanzania intelligence inaruhusu maandamano ya raia, wakati ni jambo dogo TU likifanywa maandano yanayeyuka kama barafu!

    Kwani hao viongozi wa wahuni wapo wangapi Hadi Damu nyingi za watanzania ziendelee kumwagika!!? Viongozi wahuni wakuu hawafiki hata watano lakini namna ya kuwashinikiza inagaharimu uhai wa Tanzania maelfu kwanini!? Kwanini hao wachache msifanye jambo Moja TU na mioyo ya watz ipone na...
  5. JamiiForums Tanzania Desemba 9 ukombozi na muungano wa Afrika unaanzi Tanzania?

    Kichwa cha habari kiko wazi.
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania and Qatar sign pact to boost job opportunities for local seafarers

    Dar es Salaam / London. Tanzania has signed a new agreement with Qatar that is expected to open more job opportunities for Tanzanian Leafarers and strengthen cooperation in the maritime transport sector. The Memorandum of Understanding (MoU) on the mutual recognition of seafarers' certificates...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavuna ilichowekeza kwenye Rushwa! Wasiokuwa Watanzania walipata NIDA, mtawadhibitije sasa?

    Jambo haramu ni haramu tu Njia ya mwenye dhambi ni tamu machoni pake mwenyewe na mwisho wake ni uangamizi Nchi yangu kwa sasa inapitia wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule Nchi yangu iliwekeza kwenye Rushwa, na sasa inavuna matunda yake NIDA ni kitambulisho cha mtanzania tu ndiye...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nguvu ya Wananchi Kwenye Giza la Uchumi: Tumaini la Tanzania Mpya

    Hali ya sasa imefika mahali ambapo moyo wa kawaida umeshindwa kubeba. Tumekuwa tukipambana, tukitafuta angalau mwanga mdogo ili tuendelee kuishi, lakini ukweli mchungu ni kwamba hatuoni huo mwanga tena. Kwa sisi tunaoishi kwa kutegemea utalii maisha yamekuwa kama kupita kwenye jangwa bila hata...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

    UN is watching YOU. AU is watching YOU. EU is watching YOU. SADC is watching YOU. ICC is watching YOU. EAC is watching YOU. COMMONWEALTH is watching YOU INTERNATIONAL NGO's are watching YOU. COUNTRY FRIENDS are watching YOU. NEIGHBORS are watching YOU. YOUR FRIENDS are watching YOU. TANZANIA...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu

    Tanzania ina Serikali Korofi, Onevu kwa wananchi wake. Wanaaongea wao tu. Sisi tukiongea hatua kali zinachukuliwa. Mtaua wangapi? Watawala wanataka waongee wao tu. Mwanchi akiongea anatafutwa alipo ili wamuue. Msikilize huyu bibi hapa kwenye Video Wananchi wote wale watapewa hela walete...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Citizens Sue to Block "Biased" Chande Commission

    High Court asked to quash inquiry into election violence, citing conflict of interest and exclusion of Gen-Z victims November 28, 2025 | DAR ES SALAAM Three Tanzanian citizens have filed a petition under a certificate of extreme urgency at the High Court, seeking to block the newly formed...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Je nii wakati wa NATO kuidhinishwa kuja kulinda amani ya wananchi Tanzania?

    Wakuu salamu , na poleni na tunayopitia kama wananchi watanzania ,Mungu yupo kazini. Husika na mada tajwa juu , Moja kabla ya yoyote ikumbukwe watz wengi tupo kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na wapendwa zetu. Ila binafsi nionavyo mpaka sasa mambo yajayo sio mepesi tusidanganyane hapa...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Tanzania wanapitia wakati mgumu sana, wameahirisha show za ndani, nyimbo zimedoda mitandaoni

    Wakuu Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya ku-cancel show za ndani, kuahirisha kutoa albamu, na hata nyimbo zao walizotoa zimedoda huko...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara chipukizi PEDIMA aendelea kung’ara katika ubunifu na uongozi Tanzania

    Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake katika sekta za kifedha, teknolojia, afya na ajira kwa vijana. Kupitia kampuni zake Pedima...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijue safari ya ufunguaji kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu (ICC) kwa muktadha wa hali ya Tanzania

    UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa Ushirikiano wa taarifa za uhalifu wa Haki za Binadamu uliotokea Kabla, Wakati na baada ya Kilichoitwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania EU wasiishie hapo hapo. Waweke vikwazo vya kisiasa kwa hawa watawala wa Tanzania

    Ikiwezekana balozi zote za Tanzania huko ulaya zifungwe na mabalozi wote wafurushwe na kurudishwa Tanzania. Viongozi wote waliopo kwenye serikali hii wasikanyage nchi yoyote ya ulaya. Mmarekani nae agongelee msumali
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania pamoja na nchi nyingine 8 imepokea msaada wa $10.8m kutoka TDF and the World Bank Group

    Mfuko wa Biashara na Maendeleo (TDF) na Group ya Benki ya Dunia wameingia makubaliano matano ya msaada yenye thamani ya dola milioni 10.8 kwa ajili ya programu ya ASCENT. Programu hii itatoa mifumo ya kupikia safi na nishati ya jua kwa zaidi ya 350,000 kwa watu milioni 1.8 katika nchi nane za...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Vyombo: Mnasubiri ya Zimbabwe na sisi Tanzania yatufike?

    Kilio changu na kupeleka kwa wakuu wa vyombo tunashindwa Nini? Mbona Zimbabwe waliweza kumuweka pembeni Mzee Mugabe. Tanzania ni kubwa sana kuliko kumlinda mtu Mmoja tukafikishana kununua mkate kwa Shilingi laki Moja tuanze kujikuta tunatumia Shilingi ya Kenya kwenye uchumi wetu ni vyema tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…