tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Heche: Watanzania mjiulize, mnaifanyia nini nchi yetu ili vijana wapate ajira

    "Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
  2. Wauzaji wa geosynthetics Tanzania

    Habari zenu wapendwa katika ujenzi wa nchi? Ninaomba kwa wale wataalamu wa Mambo ya ujenzi wanisaidie ni wapi hizi material za geosynthetics zinapatikana kwa dar (yani maduka ya na you za hizi material) Asanteni
  3. Wanasheria wa Tanzania wengi ni VIHIYO WA SHERIA WAKIONGOZWA NA MWABUKUSI RAIS WAO, mnakubalije mwanasheria mwezenu asukumwe kama kondom na askari mag

    Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana Shame on you all rubish lowyer...
  4. Tanzania na Qatar Kuimarisha Ushirikiano kwenye maeneo ya kimkakati

    Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili. Waziri wa Mambo ya Nje na...
  5. Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

    Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania. Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
  6. Top 5 Mikoa inayoongoza kwa Matukio ya kutisha Tanzania

    Wewe ngoja nikwambie kitu leo... kuna baadhi ya mikoa Tanzania imeamua kufanya "matukio" kama ni michezo ya ligi kuu, na kila wiki kuna headline mpya. Ila sasa wiki hii ARUSHA imejifanya kama imepata jeuri ya kuingia kwenye ligi ya "mikoa ya matukio balaa"... 😂 Sasa nasoma habari eti arusha...
  7. RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka ✅️ Serikali...
  8. Uamuzi wa Tanzania kuwazuia Wageni kufanya biashara katika sekta 15 wazua mjadala Kikanda, hususan nchini Kenya

    Tanzania imepiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya. Agizo hilo jipya linakataza wageni kushiriki katika sekta 15 zikiwemo uhamishaji wa pesa kwa njia ya simu, uongozi wa watalii, uchimbaji mdogo wa...
  9. UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
  10. Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  11. R

    Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited utanufaisha kwa Ajira 3,500-4000 na Kukuza Mapato ya Serikali

    Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu " Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
  12. R

    GE2025 Rais Samia awasili Ruvuma kuelekea Wilaya ya Namtumbo kwa Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma tayari kwa safari ya kuelekea Wilayani Namtumbo kwa ajili ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited, tarehe 30 Julai...
  13. Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini idadi ya wapiga kura Tanzania 'inazua maswali'?

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza kuwa idadi ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imefikia milioni 37.6. Takwimu hizi zimezua maswali mazito kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati...
  14. N

    Je, Tanzania inaweza kuwa kitovu cha utalii wa kitabibu Afrika Mashariki na Kati?

    Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
  15. Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  16. Chris Brown kufanya show kwa Mkapa, Tanzania

    Muandaaji wa matamasha mtanzania au mrundi anaeishi Canada PCK adai miezi ijayo Chris atafanya show kwa Mkapa na tayari ashaongea na management yake na kukubaliana kila kitu venue itakuwa LAKI na ishirini kama kiingilio cha chini zaidi.
  17. Tanzania Bans Foreigners from 15 Business Activities to Protect Local Jobs

    The Tanzanian government has prohibited foreigners from engaging in at least 15 business activities, citing concerns that non-citizens are displacing locals and worsening unemployment. The new directive, titled The Business Licensing (Prohibition of Business Activities for Non-Citizens) Order...
  18. TUNAO WASOMI, HATUNA TAIFA — Tanzania inateketeza hazina ya kitaaluma kwa maamuzi ya kipumbavu ya kisera"

    Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takriban 700,000 wapo mitaani wakihangaika, wakiwa ni victims wa mfumo usiothamini maarifa (anti-intellectual governance structure). Hii si ajali ya kihistoria, ni deliberate neglect. Ni uhalifu wa kitaifa dhidi ya akili za watu wake. Kwa mujibu...
  19. GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  20. Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…