Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita.
Pia, posho za watumishi hazilipwi kwa wakati mabosi wakiulizwa wanasema posho ni hisani. Wakati watu...
Hivi siku hizi Tangu waingie madarakani kuna Uhuru kweli wa maoni?
Maana ukiisema Serikali Mama Mkwe naye anakuja na vijembe, huku Mkwe nae anakuja na maelekezo usisahau kuna Swaiba wa Mama anaitwa Baba Keagan nae anakuja na ngonjera zake.
Watu tukisema Katiba mpya ni muhimu ili kurudisha...
Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine?
Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
Uganda and Tanzania have agreed to remove all trade barries a bid to fix trade relationship between the two countries signed by Uganda’s minister of state for foreign affairs Mr John Mulimba and Tanzanias foreign minister Mr Mahmoud Thabit Kombo.
This decision emerged from the 5th session of...
Nimejaribu kupitia mtaala huu mpya wa elimu ya msingi Hadi kidato Cha nne sijaona suluhisho la mtaala huu kuwaandaa watoto wetu kushindana na nchi zingine au watoto kujitegemea.
Mfano historia ya Tanzania mtoto anafundishwa teknolojia ya asili ya uvuvi, uhunzi, kilimo wakati watoto wa huko...
Kuna mfululizo wa dokumentari nilikuwa naufuatilia unaoonyesha safari ya timu ya Recharging Hope. Hawa ni vijana wabunifu, wanaosafiri kwa pikipiki zinazotumia umeme wa jua (Solar-powered electric motorcycles) kutoka Nairobi kuelekea Cape Town. Lengo lao ni kuonyesha kuwa teknolojia za kijani...
SRSG Parfait Onanga-Anyanga ahitimisha Ziara Tanzania, atoa taarifa yatokanayo na ziara hiyo Tanzania
12 Machi 2026
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Parfait Onanga-Anyanga, leo amehitimisha ziara ya siku tano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 8...
Habari,
Kwa wahitimu wa course ya Industrial Engineering Management inayotolewa (Mzumbe University) imekuwa ngumu kupata kazi Serikalini.
Kimsingi sisi ni wasimamizi wa viwanda na kuna Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wana Idara ya Viwanda wanaweza kutuajiri kwa taalum yetu kufanya...
Anonymous (ba44)
Thread
bodi
huduma
iringa
kero
kuhusu
maktaba
mkoa
tanzania
yangu
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vyote vya biashara kati ya nchi hizo mbili ifikapo mwezi Juni mwaka huu, katika hatua inayolenga kuimarisha biashara ya pande mbili na kuongeza ushirikiano wa kiuchumi.
Ahadi hiyo ilitangazwa wakati wa chakula cha jioni cha rasmi kilichoandaliwa...
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema Gharama za kufanya vipimo vya Vinasaba vya Binadamu “Human DNA” zimeongezeka kutoka Laki moja kwa sampuli moja hadi kufikia Laki mbili na kumi na mbili kwa sampuli moja kutokana na Gharama za mchakato wa vipimo hivyo.
“Gharama kwa...
Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya?
Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia!
The Thadei Kweka Arrest Is a National Embarrassment
By: Mchambuzi Huru wa Siasa Safi na Uongozi Bora
Tanzania’s security apparatus has once again proven what many of us in the diaspora have been warning for years: the system is not broken actually it is functioning exactly as designed, to...
Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
Na Mwandishi Wetu
Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
MAKOSA YA KODI YANAYOFANYWA NA BIASHARA NDOGO TANZANIA.
Makosa ya kodi yanaweza kugharimu biashara yako faini na adhabu kali.
Nchini Tanzania, makosa haya mara nyingi hutokana na kutoelewa sheria za TRA au kushindwa kufuata miongozo ya NBAA na BRELA.
1. Kuchanganya Matumizi Binafsi na ya...
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu.
Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo.
Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran.
Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa
Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa.
Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa.
Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.