tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  2. JamiiForums Tanzania New Job At Sandvik Tanzania, April 2021- Rock Tools Assistant

    JOB TITLE: Rock Tools Assistant Location: Bulyanhulu, Tanzania Job duties: ● Follow established guidelines or checklists to answer routine internal and customer enquiries on service and product availability, prices, delivery times, and the status of orders so that enquiries are dealt with...
  3. JamiiForums Tanzania New Job At Unilever Tanzania, April 2021- Procurement Specialist

    Job Position: Procurement Specialist Location: Mufindi, Tanzania Business Context and Main Purpose of the Job: Provide support to the East Africa Procurement manager and Mufindi Team Job Summary ● To support the procurement organization to meet goals and objectives in support to the...
  4. JamiiForums Tanzania New Job At Cool Blue Tanzania, April 2021

    JOB TITLE: Retail Sales Manager Location: Tanzania Overview We are looking for an experienced RETAIL SALES MANAGER to oversee the daily Sales operations of our products. He/she will be the one to ensure smooth running of operations to maximize sales and minimize costs. The ideal candidate...
  5. JamiiForums Tanzania New Job At CBM Tanzania, April 2021- Programme Operations Officer

    JOB TITLE: Programme Operations Officer Location: Dar es salaam, Tanzania CBM seeks to recruit a Programme Operations Officer who will support the Programme department on operations and financial management for CBM partners and the country office. Reporting to the Finance Manager, the job...
  6. JamiiForums Tanzania New Job At Save The Children Tanzania, April 2021- Driver

    JOB TITLE: DRIVER Location: Morogoro, Tanzania, United Republic of CHILD SAFEGUARDING: Level 3: √ the post holder will have contact with children and/or young people either frequently (e.g. once a week or more) or intensively (e.g. four days in one month or more or overnight) because they work...
  7. JamiiForums Tanzania Tujiulize kuhusu usalama wa vyakula Tanzania

    wakuu, leo mtujikite kwenye mada ya vyakula, katika dunia ya sasa 90% ya vyakula tunavyokula ni industrial processed ni sehemu chache sana zilizobaki hasa vijijini ambapo unapata chakula pure, ambacho hakina preservative, ila mostly vyakula tunavokula vinatoka kwenye industries na makampuni...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bitter Kenyans are still trying to frustrate EACOP

    Case against pipeline project delays in Arusha WEDNESDAY APRIL 21 2021 By LUKE ANAMI A case seeking to stop construction of the oil pipeline from Uganda to Tanzania for failing to conduct an environmental and social impact assessment has failed to take off even as the two countries proceed with...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari. Yashika nafasi ya 124 kwa mwaka 2020

    Reporters Without Borders (RSF) imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 124 kati ya Nchi 180 Duniani katika kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari ili kutetea Haki ya kupata taarifa kwa Jamii. Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari ambapo mwaka 2019 ilishika nafasi ya 118 huku...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania wabunge wetu wanajua majukumu yao? Je, wana uwezo wa hayo majukumu?

    1. Hakuna wazo jipya lolote ambalo wamewahi kutoa lenye tija na manufaa kwa wananchi. 2. Kila kinacholetwa na serikali hupita bila kikwazo chochote hata kama hakina manufaa. 3. Kwenye suala la kuongeza makusanyo ya kodi hakuwa wazo lenye afya au mantiki walilowahi pendekeza zaidi kuiachia...
  11. JamiiForums Tanzania Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4 “Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania na wezi wake - Sera ya kutumbua

    Sera ya kutumbua kisha ndio imetoka, ni dili ambazo huhitaji tena kufanya kazi serikalini. Tumezoea kusikia enzi zile za rais Magufuli mara amemtumbua huyu mara amemtumbua yule ni wengi sana wametumbuliwa na wananchi wakishangilia wasiyokuwa na ujuzi wala uelewa nayo. 1) Watanzania niwaulize...
  13. JamiiForums Tanzania Hakutawahi kutokea Tanzania Rais kama Mzee Kikwete

    Yeereeeeeh! Kamwe katika historia ya Tanzania hakutawahi kutokea Rais kama JK. Alikuwa mtu wa watu mpole wakati wote. Vijana wa TISS na UVCCM walikuwa wanamrukia hadi mabegani. Ndie rais wa kwanza Tanzania kuvaa jeans na Tshet hadharani. Hatutawahi kumpata kama JK.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Kitila Mkumbo: Mgomo wa madereva wa kiwanda cha Dangote umeisha, uongozi umekubali kuwalipa stahiki zao

    Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, jana amekutana na kufanya mazungumzo na Madereva takribani 500 wa Kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara, waliokuwa wamegoma kwa siku 12, baada ya majadiliano Uongozi wa Kiwanda hicho umekubali kuwalipa stahiki zao ikiwemo mishahara na kuahidi...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Abattoirs: Kenya vs Tanzania

    Sumbawanga Saafi meat
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Waandishi maarufu wa vitabu Tanzania wengi wao bado uchumi haujakaa sawa?

    Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu. Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho. Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao waandishi unakuja kugundua vitabu hivyo haviwasaidii sana kiuchumi. WHAT IS THE PROBLEM?
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge: Watumishi wameifikisha Tanzania Uchumi wa Kati, tunasubiri nini kuwaongeza mishahara? Asema imeshusha utendaji

    Mbunge wa viti maalum Wafanyakazi, Janejelly James Ntate amesema watumishi wameweza kuifikisha Tanzania Uchumi wa Kati kabla ya wakati wake mwaka 2025. Akiwa kwenye vikao vya bajeti vinavyoendelea mjini Dodoma amesema watumishi walifanya hayo kwasababu serikali kupitia vyama vya watumishi...
  18. JamiiForums Tanzania Retail Sales Manager at Cool Blue Tanzania

    Retail Sales Manager Location: Tanzania Job Title: Retail Sales Manager Overview We are looking for an experienced RETAIL SALES MANAGER to oversee the daily Sales operations of our products. He/she will be the one to ensure smooth running of operations to maximize sales and minimize costs. The...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Tigo na Zantel zimeishindwa Tanzania, kuuzwa

    Wanaihama Afrika kabisa.... ==== Millicom International Cellular S.A. (Millicom) is selling its Tanzanian subsidiaries (Tigo and Zantel), the company announced on Monday, 19 April 2021. The telecom firm, which is listed on Nasdaq (New York City) and Stockholm (Sweden) stock markets, said in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…