Nashukuru sana job junction Tanzania kwa workshops na mafunzo wanayotoa kwajili ya interviewees skills

Malinaahsheby

New Member
Jul 16, 2021
3
0
Kwanza kabisa namshukuru mwenyenzi Mungu na then na washukuru Job Junction Tanzania kwa mafunzo ya interviewees skills na huduma zao wanazo toa.

Mm kabla sijawatembelea Job Junction Tanzania ofisin kwao,Nilikuwa nafanya applications nyingi sana bila kuitwa kwajili interview .Sikujua kwann siitwi kwajili interview,Pia ndan ya mwaka mzima au miaka miwili naweza kupata interview mbili tu na nikifanya hizo interviews sifanikiwi kupata ajira.

Sikujua tatizo lipo wapi paka rafiki yangu alipo niambia nijaribu kuwatembelea Job Junction Tanzania,Ikanilazimu niwatembelee ofisini kwao.

Walinisaidia kunielimisha namna ya kuandaa cv inayoweza kuwa markeble katika soko la ajira na inayoweza kumeet requirements za positions nazo fanya applications .
Pia walinifundisha namna ya kujibu maswali ya interviewees kiufasaa,How to know what employer need from me,How to show my uniqueness Pia nilikuwa Sina confidence kiukweli Job Junction walinisaidia kunijegea confidence kwa kutumia watu wao wa saikologi.

Na Job Junction hawakuishia kunifundisha tu interviewees skills bali walisambazia cv yangu kwakila kazi zinazokuwa zikitangazwa na makampuni mbali mbali,Pia walinisaidia kupata interviews nyingi ili niweze kufanya vizurii hatimaye nipate kazi.

Huduma hii wanayo itoa ni muhim saana na imesaidia watu wengi na wako very Open na positive katika huduma zao.

Ni kweli katika kila jema hakukosi maadui na wapinzani ,Kuna wanao watupia matope ila hao ni wenye chuki na Job Junction na that y wanishia tumia kauli chafu na lugha mbovu.

Ningependa ili uijue Job Junction Tanzania jaribu kuwatembelea ofisin kwao au follow Instagram page Job junction tanzania

Mm nimefanikiwa kupitia Job Junction Tanzania na niwengi tulio fanikiwa,For more testomonies visit Instagram page yao.
 
Waambie waache utapeli wa kuchukua pesa za watu, madogo wamepigwa sana pale Makumbusho.
Ndugu unaonesha unachuki tu ila ukweli utabaki kuhusu huduma njema wanayo toa,Mtu kama anaitaji tambua ukweli atawatembelea na ataweza hakikisha ukweli upo wapi.
Tatizo wabongo wanapenda ushabiki na story za kwenye kahawa,Kama msomi ni mtu anaishi kwa fact na hoja pia research sio ushabiki tu.

Job Junction imekuwa msaada saana kwa jamii!
 
Watakwambia ulipie TANGAZO...

Jiandae.
Naona wazi elimu uliyo nayo hajakusaidia ,Utalipiaje tangazo wakati mteja hausiki na tangazo bali huduma inayotolewa.

Inaonesha huna hoja ya kuongea,Kama msomi nakuona hata kwenye kujibu maswali ya Interview huwezi that unaishi kwa kulaumu watu na jamii kwaujumla .
Unastahili uanze kujilaum wenyewe kwa mtizamo wako hasi ambao hutokusaidia katika harakati zako kama kijana nguvu kazi ya taifa.
 
Ndugu unaonesha unachuki tu ila ukweli utabaki kuhusu huduma njema wanayo toa,Mtu kama anaitaji tambua ukweli atawatembelea na ataweza hakikisha ukweli upo wapi.
Tatizo wabongo wanapenda ushabiki na story za kwenye kahawa,Kama msomi ni mtu anaishi kwa fact na hoja pia research sio ushabiki tu.

Job Junction imekuwa msaada saana kwa jamii!
N

Ni kweli kabisa kuna watu wanachuki binafsi , Maana mm pia ni mmoja wawalio hudhuria workshops za Job Junction Tanzania na kufundishwa vyema about how to face interviews and cv preparation.

Na hatimae nikafanya vzurii interviewees zangu nilizo hudhuria na kupata kazi.

Ukweli Joh Junction is the best wanastahili pongezi na shukran🙏
 
Back
Top Bottom