tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya muziki wa Disko Tanzania

    IJUE HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA Promasika / blogger 0 Promasika.Com Na Mwandishi wetu, Washington, DC Nimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika habari ya DISCO iliyokua na kichwa cha habari "WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE) NA MA-DJ...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania ya Maendeleo

    Tanzania ni nchi huru ambayo inaongozwa kwa utawala wa Sheria kwa kuzingatia demokrasia ,ambapo viongozi hupatikana kwa kuchaguliwa na wananchi kila baada ya miaka mitano,akiwemo raisi,wabunge,na madiwani. Nchi ya Tanzania inapita katika Sera mbalimbali katika kila awamu ya uongozi ,lengo tu...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Mwenendo wa Demokrasia Tanzania

    Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao watu wana sauti ya juu kabisa katika kuisimamia serikali yao wakati inatekeleza majukumu ambayo muhimiri wa madaraka unabebwa na nguvu ya umma kupitia wawakilishi. Tangu kuingia madarakani kwa serikali ya awamu ya tano 2015-2020 kumekuwa na ukiukwaji wa haki...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
  5. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025, roma locuta, causa finita

    KUELEKEA 2025, ROMA LOCUTA, CAUSA FINITA! KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii Tunu (Zawadi) ya Unafiki tuliyonayo Watanzania wengi haiwezi pia Kujumuishwa katika Vivutio vipatikanavyo Tanzania?

    Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni.... "TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi" Baada ya Simba SC kufungwa na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zimebadilika ghafla na kuwa.... "Hii sasa ndiyo TP...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye majina ya viongozi wa tume ya uchaguzi Tanzania atusaidie kuna tatizo

    Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020? Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president? Nauliza cv kwa sababu wanayofanya...
  8. JamiiForums Tanzania Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la JMT, |Rapper maarufu duniani raia wa Marekani Mr William Leonard Roberts II a.k.a Rick Ross aonesha nia ya kuwekeza Tanzania kiasi cha $3.5M karibu Tshs 8.1BL katika sekta ya Ujenzi|mali zisizohamishika| |Rick Ross kufika tu Tanzania tayari tutavuna waatali wengine...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hili bata la leo Dar ni kweli maisha magumu Tanzania?

    Ukiingia Mitandao leo ni full bata Dar karibu yote.. Waliokusanyika bar za nje uwanja wa Taifa Na maeneo mbali mbali leo kusherehekea Simba day ..beer zimeanza asubuhi.. Na Vijana mostly under 30 wamejaza bar karibu zote leo Dar wakitazama kwa TV Na kuanza kunywa beer kuanzia asubuhi .. Hizi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

    Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..! OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo? Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

    Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na uundwe upya ili kulinda haki za raia na watu . Azungumzia mazito kuhusu Nolle prosequi / kufutiwa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Vita ya Jirani na Utalii Tanzania

    VITA YA JIRANI NA UTALII TANZANIA Lazima tuingie gharama ili kuitangaza Tanzania na kuwavutia watalii Tanzania. Pamoja nan chi yetu kuwa na vivutio vingi vya utalii, yani vingi sana na nikivitaja hapa nitaishia kuvitaja tu hadi kuchoka kuandika, lakini ukweli ni kwamba tuna idadi ndogo ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Udikteta Tanzania: Polisi ya Simon Sirro yazuia wanawake kufanya mazoezi ya Jogging

    My Take: Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira. Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit. Mwana kulitafuta mwana kulipata
  14. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna timu ilipigwa 4-0 South Africa ikiwa imevaa jezi inayosomeka “Visit Tanzania”

    Kaizer Chief 4 - simba sc 0 tuwe makini kuna wakati tunafukuza watalii bila kujijua
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wanamichezo hawa Wawili wa Tanzania nani amechanganyikiwa akili na nani anaonyesha kuwa Kichwani zimekamilika?

    Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

    Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana. Shida ya jeshi la polisi ni latina. Shida ni CCM, Shida ni serikali iliyopo madarakani. Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika. Latina yao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania unaweza kufika kutoka nchi yoyote ukanunua ardhi, ukajenga, ukawekeza na wasikufanye lolote

    Nchi inafunguliwa Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

    Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo? Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…