Tanzania unaweza kufika kutoka nchi yoyote ukanunua ardhi, ukajenga, ukawekeza na wasikufanye lolote

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,099
2,000
Nchi inafunguliwa

Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa Mtanzania ndio kabisa huulizwi na yeyote ukitaka kuyafahamu haya nenda Kigamboni, Mwanza, Geita, Karagwe, Mbeya, Sumbawanga na Katavi yaani nchi imefunguliwa sio mchezo.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,884
2,000
Nchi inafunguliwa
Hivi mnafahamu unaweza kutoka kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa mtanzania ndio kabisa huulizwi na yeyote ukitaka kuyafahamu haya nenda kigamboni, mwanza, Geita, Karagwe, Mbeya, Sumbawanga na katavi yaani nchi imefunguliwa sio mchezo.
Tunafungua nchi
 
Giancarlo

JF-Expert Member
May 15, 2018
854
1,000
Dunia ni mali ya Mungu na vyote vilivyomo wanadamu kwa ubinafsi wao wa kutaka nguvu ya utawala walijikuta wanawekeana mipaka wao kwa wao na masharti magumu ya kuvuka mipaka hivyo mkuu ardhi sio yako pekee yako niya watu wote.
Moja ya comment mbovu kuwahi kutokea,yaan wageni wamiliki ardhi kirahisi hvyo nyie wazawa mtamiliki lini,vp kuhusu vizazi vijavyo kuhusu wao kumiliki ardhi?
 
Kokolo

JF-Expert Member
Mar 20, 2008
1,244
2,000
Nchi inafunguliwa

Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa Mtanzania ndio kabisa huulizwi na yeyote ukitaka kuyafahamu haya nenda Kigamboni, Mwanza, Geita, Karagwe, Mbeya, Sumbawanga na Katavi yaani nchi imefunguliwa sio mchezo.
Sheria ziko wazi, unaweza pata hasara kwa dakika 0. Nchi zote dunian zina sheria zake, u napojifanya kipofu waweza poteza kila kitu, ignorance of law has no excuse.
 
mwanateknolojia

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
1,027
2,000
Nchi inafunguliwa

Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa Mtanzania ndio kabisa huulizwi na yeyote ukitaka kuyafahamu haya nenda Kigamboni, Mwanza, Geita, Karagwe, Mbeya, Sumbawanga na Katavi yaani nchi imefunguliwa sio mchezo.
Aisee hiyo ni kweli kabisa! Mimi mwaka 2014 niliingia mgogoro wa kiwanja na Mkenya tena ana majina kikenya kabisa yanaanza na "O", Lakini bado aliweza kuwanunua maofisa ardhi na mwisho wa siku nikaambiwa mimi hati yangu ni ya mwaka 2014 na yeye ni ya mwaka 2013, Hivyo yeye ndo mmiliki wa kwanza wa hiko kiwanja hivyo mimi niondoke nitaftiwe kiwanja sehemu nyingine!
Nilijaribu kufight mpaka uhamiaji nao wakajaribu kujitutumua lakin nako akawalambisha, nikaambiwa huyo bwana ni sehemu ya kundi la wakenya liliotwaliwa na Mwalimu Nyerere na kupewa uraia miaka ya sabini, so habari ikaishia hapo!
Skua na jinsi nikafta tu sehemu nyingine ila nashkuru Mungu kile nilichopata sehemu nyingine kilikuwa kikubwa sana about 2500 Square Metres!
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,168

Wewe katafute pesa zako uende US au Kenya ujenge..... acha uzalendo wa kipumbavu, wewe umejenga nyumba ngapi hapa Tz, hi nchi tunahitaji wawekezaji wanao leta pesa.......
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,168
2,000
Aisee hiyo ni kweli kabisa! Mimi mwaka 2014 niliingia mgogoro wa kiwanja na Mkenya tena ana majina kikenya kabisa yanaanza na "O", Lakini bado aliweza kuwanunua maofisa ardhi na mwisho wa siku nikaambiwa mimi hati yangu ni ya mwaka 2014 na yeye ni ya mwaka 2013, Hivyo yeye ndo mmiliki wa kwanza wa hiko kiwanja hivyo mimi niondoke nitaftiwe kiwanja sehemu nyingine!
Nilijaribu kufight mpaka uhamiaji nao wakajaribu kujitutumua lakin nako akawalambisha, nikaambiwa huyo bwana ni sehemu ya kundi la wakenya liliotwaliwa na Mwalimu Nyerere na kupewa uraia miaka ya sabini, so habari ikaishia hapo!
Skua na jinsi nikafta tu sehemu nyingine ila nashkuru Mungu kile nilichopata sehemu nyingine kilikuwa kikubwa sana about 2500 Square Metres!
Kwahiyo ulitaka umnyang'anye kiwaja chake kwa sabb ni mkenya lol!!!! Wtnia tuna wivu na fitina za kiswahili ulienda kumchomea uahamiaji ili kiwaja kirudi kwako au ku mkomesha tu?
 
mwanateknolojia

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
1,027
2,000
Kwahiyo ulitaka umnyang'anye kiwaja chake kwa sabb ni mkenya lol!!!! Wtnia tuna wivu na fitina za kiswahili ulienda kumchomea uahamiaji ili kiwaja kirudi kwako au ku mkomesha tu?
Kaka mali ya Mtanzania ni ya Mtanzania! Kama hapa Zenji tu Wabara haturuhusiwi kujenga iweje turuhusu wakenya waje kujenga Tz na population yetu inapanda kwa kasi namna hii??
Huko Uhamiaji nlitaka kujua kama sheria za uhamiaji zinaruhusu Mkenya kumiliki Ardhi ya Tanzania au la? Maana hata katika nafasi za ajira zinazotangazwa na serikali huwa kuna kigezo kuwa muombaji awe raia wa Tanzania, wewe bado hujaona hata ardhi tulitakiwa kuweka kigezo???
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,741
2,000
Nchi inafunguliwa

Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa Mtanzania ndio kabisa huulizwi na yeyote ukitaka kuyafahamu haya nenda Kigamboni, Mwanza, Geita, Karagwe, Mbeya, Sumbawanga na Katavi yaani nchi imefunguliwa sio mchezo.
Ni kweli ninrahisi sana kufanya yote hayo.

Ila sasa utakosa uhuru maana watu wakikaa kimya usidhani hawakuoni.

Siku ukiingia anga zao unapoteza kila kitu na ndio utajua hujui kwamba taratibu zipo na sheria zipo.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,741
2,000
Wakenya wengi sana wana viwanja na wamejenga dar. Kwa mbinu ya kuoa dada zetu
ARDHI na MITI kwa Tanzania ni mali ya RAIS.

Nyingine zote ni mbwembwe tu.

Utapata tu sehemu ya kuishi ila siku hiyo ardhi wakiitaka wenyewe wanaichukua na hutakuwa na kitu cha kufanya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom