Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,551
- 6,110
Tangazo halina mbwembwe sana ni kwa yeyote yule mwenye elimu ya kidato cha nne na umri usiozidi miaka 33.
Usijidanganye hakuna mbinu hizo TZ zaid ya connection had sahiz kuna vijana zaid ya vijana 6000 wanapiga course ya tpdf na hujaskia sehemu wametangaza jiulize wametoka wapiKuendana na uelewa wangu nimechambua na kukuwekea mbinu za kuweza kupata kazi za jeshi au kufanya vizuri sana jeshini...
Wamechukuliwa kutoka kwenye kambi zao za jktUsijidanganye hakuna mbinu hizo TZ zaid ya connection had sahiz kuna vijana zaid ya vijana 6000 wanapiga course ya tpdf na hujaskia sehemu wametangaza jiulize wametoka wapi
wewe usifanye kitu kwa kukariri fanya kilicho bora kwanza then ujirank kuna watu wanapata kazi kupitia ubora wao na si connection tu na wakati mwingine connection hujitengeneza kutokana na ubora wakoUsijidanganye hakuna mbinu hizo TZ zaid ya connection had sahiz kuna vijana zaid ya vijana 6000 wanapiga course ya tpdf na hujaskia sehemu wametangaza jiulize wametoka wapi
Sishangazwi na hiyo logic sababu majeshi yetu yanaonekana kuendeshwa kijima kabisa, non productive, hakuna ubunifu.Majeshi sasahivi hayachukui graduates mana graduates wanajua kuhoji na wana jenga logic...
Umesema vyema sana. Kuna vijana wanawakatisha tamaa vijana wenzao kwa kisingizio cha connection.wewe usifanye kitu kwa kukariri fanya kilicho bora kwanza then ujirank kuna watu wanapata kazi kupitia ubora wao na si connection tu na wakati mwingine connection hujitengeneza kutokana na ubora wako
ndio maana kwenye cv pia unaweka detail za watu ambao wanaweza kukuelezea vyema either upande wa ubora au upande wa mapungufu yako nayo hii si connection?
Achana na huyu mzee alikuwa mchoyo sana
Wamezingatia ushauri. Si unaona hawahitaji taaluma kubwa?
Katika vyombo vyote vya ulinzi na usalama, magereza ni chombo cha hovyo sana. Hawataki wasomi wakuliendesha jeshi, wanataka elimu ndogo tuu ya kumlinda mfungwa. Magereza kujiendeleza ukiwa kazini nasikia wanabana sana au hutopanda daraja. JW vijana wadogo tuu under 30 unakuta ni maofisa (Wana nyota). Ndomaana magereza hata mtaani hawana status kama wenzao mf TISS, JWTZ, polisi, uhamiaji, fire,Sishangazwi na hiyo logic sababu majeshi yetu yanaonekana kuendeshwa kijima kabisa, non productive, hakuna ubunifu.
tembelea miradi ya magereza utakuta wanafuga ngombe hawaongezeki, wanalima hawapati faida, biashara za thamani unakuta bei ghali kuliko za mtaani.
Jeshi kama la magereza linahitaji wasomi waingizwe na waruhusiwe kuwa wabunifu watafika mbali.
lakini wakiendelea kutumia akili za wakubwa wao wa sasa ni mizigo tu
bila kuweka ivyo nusu ya shazi la vijana mtaani wangekimbilia ukoshida ni hiyo jkt....tu wengine ndio inayo watoa kwenye reli hiyo
Taaluma gani kubwa hapoWamezingatia ushauri. Si unaona hawahitaji taaluma kubwa?
Sema wanazingua sana wangechukua hata na form sixTaaluma gani kubwa hapo
Rudia kusoma nilichoandika na kilichopo kwenye tangazo kipengele b na niliyem quoteTaaluma gani kubwa hapo