tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze kuzungumza sera sio kuzungumzia watu

    Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
  2. Kupata kwa mwezi kesho Jumapili Tanzania.

    Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa kwa mwezi. Mwezi utaingia giza. Total lunar eclipse. Now talking about eclipses,I noticed last time...
  3. IDU watakao jumuia ya kimataifa kupuuza Uchaguzi wa Tanzania

    Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine. IDU ni muunganiko wa vyama vya Africa,ulaya na America,,kitendo Chao cha kusema jumuia ya kimataifa zipuuze uchaguzi...
  4. BBC Africa: Tanzania abductions.

    https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa. Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi. Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika. Licha ya...
  5. Mabasi yapi yanaenda Harare kutoka Tanzania?

    Naomba nisaidiwe taarifa zifuatazo: 1. Mabasi yanatoa huduma ya usafiri kutoka Tanzania, na makisio ya nauli kama itawezekana. Nikipata namba zao za simu ni ni vizuri zaidi! 2. Safari yangu itaanzia Mwanza. Nitapaswa kwenda kupandia basi Dar Es Salaam au Tunduma? 3. Itachukua muda gani kutoka...
  6. Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  7. Uchaguzi wa Tanzania 2025 tunatiki kwa MISHANGAZI NA MIBABAZI? AU NI SINGLE MAZA NA SINGO DADY?🤣😆😀 awa waweza kuwa pandikizi kweli.

    Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera, Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio. Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady? Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
  8. Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
  9. Tanzania kinara wa mabilionea Afrika Mashariki - Ripoti

    Ripoti mpya ya Africa Wealth Report 2025, iliyotolewa na kampuni ya ushauri wa uwekezaji wa kimataifa Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth, inaonyesha sura mpya ya bara la Afrika katika ramani ya utajiri duniani. Tanzania imeendelea kufanya vyema kwa nchi za Afrika Mashariki...
  10. M

    Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
  11. U

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  12. Uwezo wa Marais wa Tanzania kwenye kuongoza nchi pamoja na sababu zake

    TOP ya Maraisi kulingana na uwezo wao: 1. Nyerere Alitumia akili nyingi kutupatia uhuru bila kumwaga damu, aliongea vitu vingi ambavyo vingine vinatokea sasa, uzalendo usiokuwa na mashaka, nchi aliunganisha kwa makabila yote na kupatikana mswahili na pia alijua ni lazima atoke madarakani ili...
  13. Leo nimetimiza kabila la 125 kuligegeda hapa Tanzania.

    Safari yangu ilianza mwaka 2013 Nashukuru leo nimefunga pazia na kabila la wakiguru. My dreams have come true. Thank you.
  14. Je Kwanini Maelekezo ya kiusalama yanayowekwa kwenye bidhaa hayazingatiwi Tanzania?

    Ni kawaida kukuta mtu anatembeza vinywaji mtaani na ata stendi au Mwingine anauza vinywaji kama soda na Energy zikiwa zimerundikwa nje tena juani Lakini ukisoma maelekezo kwenye zile bidhaa utakuta zimeandikwa store in a cool & dry place au Keep away from direct sunlight Je kwa kupuuza...
  15. Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

    Naomba niorodheshee miji ambayo NI makao makuu ya mikoa nchini iliyozidi kudumaa kiashiria kimojawapo NI uwepo wa nyumba za udongo barabara kuu katikati mwa mji. 1. Lindi 2.......... 3...........
  16. Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  17. TFF yatoa orodha ya mawakala wa Tanzania wanaotambulika na FIFA

    Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA). Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa...
  18. Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  19. Shida ya Elimu Tanzania

    We Are So Primitive Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna wakati Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri Mfano mtu anatoka anakuja kuanzisha kiwanda au kampuni Ni watu wangapi walivyokuwa wadogo walikuwa wanandoto kubwa ila...
  20. S

    Tanzania yazidi kuvutia wawekezaji: Thamani ya Uwekezaji yapaa

    Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. 🔹 Thamani ya Uwekezaji: Rekodi ya Kihistoria Kati ya mwaka 2018 – 2021...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…