tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Administration Support Officer at Total Tanzania

    ADMINISTRATION SUPPORT OFFICER Human Resources DAR ES SALAAM-NELSON MANDELA RD(TZA) Tanzania Job Description Managing house leases/rents for expatriates. To ensure comfortable working conditions, regular communication with expats about their housing, schools, and other needs. Reviewing...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

    Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda? Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kumkataa Balozi wa Zambia nchini

    Ni baada ya jina la balozi huyo kuwa na maana mbaya kwa lugha ya kiswahili nchini Tanzania. Kumbe jina linaweza kukunyima ulaji.
  4. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania bila mambo haya itabaki ushabiki Vima wa Simba na Yanga

    Hakika nawasalimu. Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa nyuma ni nadra Sana kumkuta mwanamke anashabikia soka, lkn hivi Leo wanacheza na kuimba kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kusini mwa Africa waliowahi kucheza soka Tanzania

    Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
  6. JamiiForums Tanzania Ni Rais gani atarudisha Kiingereza kama lugha ya kufundishia Tanzania?

    Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili. Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Tanzania hatubadilishi Menu? Ni umaskini au ukosefu wa ubunifu!

    Familia za Kitanzania kila siku chakula cha aina moja, ugali maharage/nyama au wali lije jua au mvua kama ulifikiri labda nyumbani ni shida ya bajeti kwa nini ukienda kwenye migahawa wanapika yale yale kila siku 24/7, hata ukienda kwenye cafetaria za vyuo au wanapokula Wafanyakazi town menu ni...
  8. JamiiForums Tanzania 63% ya wanawake Tanzania wako tayari kupata chanjo ya COVID19

    Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu ya wanaume ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo. Kwenye upande wa maeneo watu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Warehouse Manager at KEDS Company Tanzania

    Job Description 1.Basic Information Post Warehouse assistant manager Job Title M2 Post Code Dept. W/H Section Warehouse Staffing 2. Leader-Member Relation Immediate Supervisor Warehouse manager Indirect Superior Warehouse Dept. HD Immediate Subordinate Warehouse Supervisor Indirect Subordinate...
  10. JamiiForums Tanzania Safety Supervisor at KEDS Company Tanzania

    Responsibilities Support the development of OHS policies and programs Advise and instruct on various safety-related topics (noise levels, use of machinery etc.) Conduct risk assessment and enforce preventative measures Review existing policies and measures and update according to legislation...
  11. JamiiForums Tanzania NBC bank ni benki bora Tanzania Kwa sasa

    Habari zenu. Hii bank sikuwahi kuitumia Wala kuijua,Binafsi Kwa miaka mingi natumia CRDB na NMB. Katika pirikapirika na mishe mishe za mjini nikajikuta nimeandikiwa cheque ya NBC. Nilipofika Kule nilihudumiwa chapchap Kwa weledi and customer care Bora kabisa. nilifungua account moja ya saving...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuajiri wasomi Tanzania?

    Tanzania kina mihimili mitatu, mihimili yote inaajiri wasomi wengi wakiwa na first degree na kuendelea huu wachache wakiwa naelimu ya sekondari. Upo wakati watanzania walilalamika majeshi yanapotoa nafasi za KAZI Kwa wahitimu wa kidato Cha nne ambao walifauli Kwa wastani mdogo. Hata Wananchi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

    Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula, Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti? Nani angeamini kama Waitara angesaliti? Kipindi cha JPM nadhani mliona...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Jaji Mkuu mpya kutokana na yanayoendelea kwenye Mhimili wa Mahakama?

    Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima. Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na...
  15. JamiiForums Tanzania THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

    Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana madili popote ndani na nje ya Tanzania

    Kuna watu wanaweza wakawa wanaona fursa wanazidharau Kumbe hizo ni dili Kwa wengine Mi kuanzia mwezi wa saba ntaanza kupata soko la maharage! Maparachichi, Karanga na mafenesi huku, naona wanapata kutoka pakistani sana! Pia hapo ulipo unaweza ukawa unaona kuna fursa ya kufundisha! Kufanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Treasury Bonds za Tanzania

    Siku hizi kila mtu anakimbilia Treasury bonds. Hii kitu mie Napata wasiwasi sana. Unaikopesha serikali kutumia hela kwa miradi ya maendeleo ambayo sio ya kuingiza Faida, Mfano watu wakahitaji hela zao kwa Pamoja je wataweza kuzirudisha au ndio kama Mifuko ya hifadhi ya Jamii.
  18. JamiiForums Tanzania Somali Bantus walikataliwa Somalia, UN waliomba warudishwe kwao Tanzania

    Somalia kuna Wabantu ambao walifika huko wengi kwa Utumwa, maisha yao yalikuwa magumu kuanzia mwanzo Wasomali hawakuwahi kuwakubali na wamekataliwa kata kata na Msomali yoyote aliyejaribu ku-intermarry na Mbantu alitengwa na jamii ya Wasomali. Hali ilikuwa mbaya kwa Wabantu Somalia hadi UN...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais anastahili pongezi

    NILIPATA kuandika miaka ya nyuma kuwa Tanzania inateswa na mambo makuu mawili; Ujuaji na ukosefu wa uadilifu. Mosi; watu wanajua sana. Sehemu yenye kuhitaji utaalamu, yule ambaye fani haimhusu anaweza kuzungumza na kuonekana anajua zaidi. Mwaka jana, Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Dkt. Tulia Ackson: Kuhusu waliofukuzwa Chadema, mheshimu Sheria za nchi

    Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…