tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Trafiki kama noma na iwe noma

    Trafiki alipolisimamisha gari, alimkuta dereva yupo sawa kila sekta: bima ilikuwa halali, mzigo ulikuwa na stakabadhi kamili, leseni ilikuwa bado hai, na matairi yalikuwa mazima bila tatizo. Baada ya kulikagua gari kwa kulizunguka mara mbili, ndipo akaibua kosa moja tu—ufa mdogo kwenye taa...
  2. Hivi Nancy Sumari ndio alikuwa mwanamke mrembo Tanzania nzima?

    Huyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima. Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia...
  3. H

    Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  4. Kwa nini vifurushi vya Visimbuzi kama DSTV na AZAM nchini Tanzania Bei iko juu kuliko Nchi nyingine?

    DSTV inamilikiwa na MultiChoice Group, kampuni ya Afrika Kusini yenye makao makuu Randburg, Johannesburg. MultiChoice ilianzisha DStv mwaka 1995, na tangu wakati huo imepanuka kutoa huduma za televisheni za kulipia katika sehemu nyingi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwa ni pamoja na...
  5. B

    GE2025 Umoja wa Mataifa Waibana Vikali Tanzania Kuhusu uonevu Kwa LISSU na Mdude Kutekwa

    17 September 2025 #BREAKINGNEWS! Umoja wa Mataifa Waibana Vikali TANZANIA Kuhusu UONEVU Kwa LISSU na MDUDE Kutekwa https://m.youtube.com/watch?v=SgApzTckEaA Source : JasusiTV UN UMOJA WA MATAIFA YASEMA TANZANIA KUPELEKWA MAHAKAMA YA ICC THE HAGUE UHOLANZI IKIWA BARUA YAKE ITAPUUZWA UN kesi...
  6. Taasisi za afya za utafiti za Tanzania zinaendeshwa kiudalali, kiujanja-ujanja na kimchongo

    Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka hiyo ni full ubabishaji naandika haya nikiwa ni mtu ambaye nina-uzoefu wa kukataliwa na hizi taasisi...
  7. L

    Mijadala ya sera kati ya Tanzania na China kuinufaisha Tanzania katika utekelezaji wake wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Wakati China ikielekea kuainisha mipango yake ya maendeleo ya taifa kwa miaka mitano ijayo (2026 hadi 2031) baada ya kumalizika kwa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano wa China (2021-2025), hivi karibuni Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kufikia lengo kuu la kujenga Taifa jumuishi...
  8. GE2025 Tanzania wakristo kwa waislamu wote tuingie Mfungo kuombea nchi

    Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini...
  9. M

    Ni wakati wa Tanzania kumpa maua yake Meya mstaafu Max kwa kuvumbua kipaji cha Alphonce Simbu na majina mengine makubwa kwenye riadha

    Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
  10. Takwimu za Wizara zinaonesha kati ya Januari - Julai 2025 Wageni waliotembela Tanzania ni Watu Milioni 1.27

    Kwenye nchi yenye kilele cha Mlima Kilimanjaro hadi nyasi za hifadhi ya Serengeti mpaka kwenye fukwe za Zanzibar – Tanzania, hizi ni takwimu za Wageni waliotembela Tanzania ndani ya kipindi cha Januari 2025 hadi Julai 2025 ambapo jumla yao ni Watu Milioni 1.27, takwimu hizi ni kwa mujibu wa...
  11. POTOSHI Wasira amesema 'hapa Tanzania kwaka huu CCM inaogopa CHADEMA, inawakamata ili ishinde uchaguzi'

  12. GE2025 Pamoja na kuendeshwa na wasomi, Je Mhimili wa Mahakama Tanzania unajitambua?

    Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi. Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya...
  13. Sekta ya Teknolojia Tanzania: Tech Zinazodominate na Fursa za Kazi kwa Job Seekers

    Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your current one. Kama unajua, global tech na local one ni different sana, especially in developing...
  14. Nimeshuhudia Familia ya kimafia with Low Key Tanzania

    Hii familia mpaka leo nikiitafakari huwa sipati jibu, Kwanza ni familia ya kiungwana sana wako very very humble ni wacha Mungu, na kanisani hawakosekani na ni watu wenye kusaidia wengine kwa moyo bila kujisifu, Ni familia ya kipato cha kati si matajiri wala si masikini wako OK,(Juuuuust right)...
  15. Inside Tanzania Witchcraft Economy: Albino Killings and a Hidden Human Crisis

    DAR ES SALAAM, Tanzania – Sixteen-year-old Juma’s voice trembles as he recalls the night that scarred his life. “They think we’re ghosts,” he says, touching the wounds where attackers tried to hack off his limbs. Juma is one of Tanzania’s estimated 17,000 people with albinism—and one of the few...
  16. Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports)

    Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na la wadau. Makampuni mengi bado yanaona ripoti za uendelevu kama zoezi la kuzingatia sheria tu...
  17. Kwanini mtu ukiwa unatekeleza majukumu yako ya kiofisi unaonekana ni mwenye kiherehere?

    Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli. Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku. Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
  18. Yanayoendelea Nepal, je kutokea na Tanzania?

    Kwa wale tunaofuatilia habari za kimataifa tumeona jinsi raia wa Nepal hasa vijana walivyoiangusha Serikali Yao kutokana na ugumu wa maisha. Hali kama hio naiona ikija kutokea Tanzania. Nasemea hivi kwa sababu zifuatazo:- 1. Vijana wengi wanamaliza vyuo,shule za secondary na hata msingi ila...
  19. Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  20. GE2025 Polepole aliwahi kusema CCM itatawala miaka 70 sioni hili likitokea hata miaka 5 ijayo

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi. Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke yenu matokeo yake uchaguzi umedharauliwa. Hizi ni hatua za mwisho za kuitamatisha CCM kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…