tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  2. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  3. JamiiForums Tanzania Uchumi wa ‘Machinga’ na Mama Lishe: Muhimili Usioonekana wa Maendeleo ya Tanzania

    Unapokatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mwanjelwa jijini Mbeya, au soko la Nyakato jijini Mwanza, zile sauti za wafanyabiashara wadogo na harufu ya vyakula vya mama lishe zinazotawalaga kwa mbali, unaweza kudhani ni shughuli za kawaida za kujitafutia riziki, lakini ripoti mpya kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Air Tanzania Mwanza online check in haitambuliki

    Kwa kifupi: Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo. Full: Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania. Usiku kabla ya safari nilitembelea tovuti ya ndege nika 'check in' kwa mtandao ili kuepuka kadhia ya...
  5. JamiiForums Tanzania Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

    Habari Tanzania ! Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu. Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo; 1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population )...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo. Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli? Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi? Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
  7. JamiiForums Tanzania Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW

    Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Matokeo ya Kesi ya Lissu na Tume ya Chande YANAJULIKANA, anayetegemea tofauti labda haijui Tanzania

    Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi. Tume ya Chande haina kazi ya...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) hauwalipi watu watokao Tanzania Bara katika mafao yao pindi wamalizapo mikataba au wanapopoteza kazi

    Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote. Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haitaji Shule za Bweni za Jinsia Moja

    Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida. 1...
  13. JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi Zambia yakanusha kuja kujifunza namna ya kuendesha uchaguzi kutoka TANZANIA

    Zimekuwepo tetesi huko nchi Zambia kuwa tume ya uchaguzi ya Taifa hilo Iko TANZANIA kujifunza namna za kufanya chaguzi ECZ imekanusha vikali kuwa haina lolote la kujifunza kutoka TANZANIA kuhusu mambo ya uchaguzi Zambia wanatarajia kufanya chaguzi mwezi August
  14. JamiiForums Tanzania Nani ni shujaa wako au msaliti kwenye siasa za Tanzania?

    Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti. Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
  15. JamiiForums Tanzania Madereva wa Tanzania to Zambia, Watakiwa kubeba Cash kwacha 2,500 ya Toll ya barabara ya Sakania to Ndola

    Kituo kipya cha tozo (Toll Plaza) cha Tom Mtine kwenye barabara ya Ndola–Sakania huko Ndola, Zambia kimefunguliwa rasmi leo Jumamosi (22 Februari 2026). GHARAMA ZA TOZO K0.00 – Magari madogo, daladala/mini basi, na magari mepesi (yamesamehewa kwa muda) K100 – Mabasi yenye zaidi ya viti 30 K850...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni watu na sera za kuiongoza Tanzania. Muda wowote nchi itakuwa mikononi mwenu

    Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni. Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu. 1. Kutengeneza timu ndogo ya wanadiplomasia watakayezunguka dunia nzima kujenga mazingira ya uungwaji mkono kuanzia sasa kabla na baada ya kutwaa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania US Senator (Democratic): Kwa yaliyofanyika 29/10, uhusiano wetu na Tanzania lazima uangaliwe upya

    Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi. Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire. ============= The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history. Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

    Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4% ya mwenye. M super market . Mama Samia anafikia zanzibar , familia na rushwa kila siku...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali na mamlaka zake ni damaged beyond repair?

    Naangalia mahakama inavyofanya kazi zake, maamuzi zake, upindishaji wa sheria, uvunjaji wa katika wa wazi kabisa Naangalia jeshi linalopaswa kuilinda katiba kufa kupona. Naangalia lilivyolinda wananchi wakati wa maandamano. Naangalia linavyolinda haki ya kuishi nyakati za utekaji Naangalia...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unajua Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Tanzania Mke na Mume wanapoachana, ndoa haivunjiki?

    Watu wengi wanachanganya kuhusu mke na mume kuachana, na kuvunjika kwa ndoa. Kwa mujibu wa sheria, mke na mume wanaweza kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake, lakini ndoa inakuwa bado ipo. Mke na Mume wanapoachana, kwa lugha ya kisheria 'wanatengana', maana yake kila mmoja anakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…