tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  2. Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  3. GE2025 Mimi siungi mkono maandamano. Huwezi kushindana na Dola. Tutavuna vifo na vilema Dola itatamalaki na TANZANIA itabaki

    Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu. Nashauri swala la maandamano lifuteni Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
  4. X

    Hatimaye BYD wafungua dealership Tanzania

    Mchina kaamua kuwasogezea huduma hadi nyumbani. BYD wameamua kufungua dealership ya vyuma vya umeme Tanzania. Sasa ni wakati wa kutembelea matako bila kuwazia bei ya mafuta, mchawi Tanesco.
  5. GE2025 Doyo: Elimu ya Tanzania haina maslahi kwa wananchi

    Mgombea Urais kupitia Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo ameutaja mfumo wa elimu ya Tanzania kuwa ni usio na maslahi kwa wananchi wake. Doyo amezungumza hayo akiwa katika muendelezo wa kampeni zake Mkoa wa Rukwa katika Wilaya ya Sumbawanga Leo Oktoba 11, 2025 akisema mfumo huo unamfanya mwanafunzi...
  6. Marekani yaufuta mradi wa tanzania NCO development

    Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1 Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo...
  7. R

    As long as hakuna Independence of thé Judiciary, then hakuna Majaji Tanzania au in a broad sense Tanzania hakuna Mahakama

    Sifa kubwa ya uwepo wa Mahakama, NAMBA moja with exclusivity of any other factors, ni INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY Hiyo sifa hapa TZ hatuna. Hivyo hakuna mahakama. Kuna kusanyiko la wahuni wanatoa kinachokuja kichwani mwao kama so called Hukumu!
  8. PayPal Tanzania

    Wakuu habari za muda huu. Ni mwaka 2025, dunia inakimbia kwa kasi kwenye suala la teknolojia, lakini sisi bado tumekwama kwenye jambo dogo la huduma ya kifedha ya mtandaoni kama PayPal. Watanzania — hasa vijana wa kidigitali, wabunifu, wasanii, freelancers, na wafanyabiashara mtandaoni —...
  9. R

    Tanzania Police Force has Deployed Over 4,000 Police Officers to Educate Public on Responsible Social Media Use

    The Tanzania Police Force, through its spokesperson, the Deputy Commissioner of Police (DCP) David Misime, has revealed the deployment of more than 3,900 officers across Mainland Tanzania and 388 in Zanzibar to conduct public education on the responsible use of social media Speaking to the...
  10. Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions

    Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of Tanzania’s founding father, Julius Kambarage Nyerere. Twenty-six years now. I remember the day he died...
  11. M

    GE2025 Tanzania ikizuia mobilization ya maandamano kupitia mitandao, Watanzania watutumiana SMS

    Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
  12. Harakati za Tanzania ni ngumu, mimi mwaka 2017 nilikamatwa

    Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli. Kipindi kile nilikuwa na miaka 21 Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend . Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu...
  13. JWTZ Hawaruhusiwi Kutumia yale Mafunzo ya Kuokoa Mateka Kuokoa Wanaotekwa Tanzania?

    Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka. Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile kuokoa mateka wa Mafwele na kuwakabidhi kwa jeshi la polisi ili wawapeleke makwao au kuwafikisha...
  14. L

    China na Tanzania zaendelea kujiimarisha kwenye masuala ya uvumbuzi wa kilimo

    Tanzania na China ni nchi ambazo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao ulioanza tangu enzi na dahari. Uhusiano huu umejengwa katika misingi imara na isiyotikisika, ambapo mbali tu na kujikita kwenye mambo ya diplomasia, pia umeingia hadi katika miradi mbalimbali ya kilimo ambayo inawanufaisha zaidi...
  15. H

    Viongozi wa kimila na asili kusanyikeni kwa maombi kukemea utekaji na mambo mengine yasiyokubalika ndani ya Tanzania!

    Najua kwa asilimia kubwa viongozi wa asili na mila wa sasa ni wanafiki na waongo na ndiyo maana ni "double agents" wa serikali kwa maana kwamba anaendesha shughuli za asili na mila na wakati huohuo ni muumini wa ukristo na uislam,huu ni ukichaa!! Niwaombe kama kweli mnauwezo na kuamini ktk...
  16. Nawasihi wazalendo wote Tanzania jizuieni kwa sasa kujipost kwakua dhamiri zetu ni kiukomboa Tanzania tarehe 29/10/2025 imefika

    Mbinu wanayoitumia hawa Watekaji ni Kumuwahi Kila Mmoja anayeonekana ana Uthubutu wa jambo letu !!. Sasa katika hali ya Mmoja Mmoja ni rahisi wao kutumaliza na kuchomekea Woga. Sasa basi kwakua Dhamira zetu ni DHAHIRI na kwa namna tulipofikia 29/10 ni tukio la Ukombozi wa Nchi. Tuendelee na...
  17. Miaka michache ijayo, Tanzania itakuwa nchi ya hatari zaidi Afrika kuliko hata South Africa

    Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na watawala hawaoneshi nia yoyote kukabiliana na hali iliyopo au kutoa tamko lolote kwa yanayoendelea hapa...
  18. R

    Dr. Chris Mauki: Tunaweza kuikomboa Tanzania pasipo damu ya Mtu kumwagika, Kama kweli tunaipenda Tanzania basi tuipende haki ya watanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya: "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
  19. Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…