tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Lissu yupo sahihi, Mahakama za Tanzania hazipo huru. Ndiyo maana hata Mbowe aliachwa huru kabla ya kujibu tuhuma

    Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli. Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu...
  2. JamiiForums Tanzania Kanuni ya masaa 72 timu kucheza mechi haiswihi kwa Tanzania

    Nchi yetu ni kubwa sana na timu zimetawanyika sana kwenye mikoa, wilaya, tarafa, kata hata kwenye vijiji. Viwanja vyetu vingi havina dimba nzuri la kuchezea hivyo linazalisha ajali nyingi zisizozuilika kwa wachezaji. Wachezaji wetu wengi hawakutokea kwenye sports academies hivyo wanarukiana tu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?

    Wasalaam wana wa Mungu. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu kesi iliyopelekea kukamatwa kwa Ndege yetu na Kesi zingine mashauli yazo kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara...
  4. JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

    Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu. Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwafutia ukimbizi wanaogoma kurudi nchini kwao

    Serikali ya Tanzania imesema itawafutia hadhi ya ukimbizi wakimbizi wa Burundi wanaoishi mkoani Kigoma, iwapo wataendelea na msimamo wa kutojiandikisha na kurejea kwao kwa hiari katika kipindi chote chapili ambacho serikali ya Burundi nayo imeingilia kati kuhamaisha. Hatua hiyo imekuja mara...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
  7. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021, 70% walioambukizwa VVU Tanzania ni Wasichana

    Takwimu za Maambukizi mapya ya VVU zimeonesha Wasichana wenye miaka 15-24 walioambukizwa VVU kila wiki walikuwa 212, sawa na wastani wa Maambukizi mapya 30 kila siku. Kwa mujibu wa WHO, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2021 kulikuwa na watu milioni 38.4 wanaoishi na VVU Duniani kote, ambapo...
  8. JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea. Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge

    Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge * Ni baada ya mkataba wao kufutwa bandari ya Dar es Salaam * Kampuni ya PR ya Capital Plus yapewa kazi kuisafisha TICTS * Wapanga uhujumu wa huduma za makontena bandarini baada ya kuenguliwa WAZIRI mstaafu Nazir Karamagi na mfanyabiashara Yogesh...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi karibu na Mpaka wa Tanzania na Zambia

    Wana jukwaa Salaam Kwa wazoefu wa maeneo haya ninaomba msaada. Mpango wangu ni kuishi mpakani mwa Zambia na Tanzania (karibu na hapo Tunduma) lakini eneo la mpakani kiasi kwamba nikitaka kuvuka kupata mahitaji upande wa pili wa Tanzania ninavuka bila shida. Pia ni biashara gani hapo inayoweza...
  12. JamiiForums Tanzania Lalamiko langu kwa shule za Tanzania kulazimisha wanafunzi kusoma masomo ya Dini

    Habari za saa nyote natumai ni njema, moja kwa moja wacha niende katika jambo lililonifanya niandike lalamimiko langu. Lalamiko langu linaenda kwa shule za msingi na upili katika taifa letu la Tanzania kuhusu suala la ulazimishaji wa vipindi vya dini kwa wanafunzi tena kwa kuwachapa viboko wale...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni taifa la kidini?

    Habari za saa wanachama wa hii platform pendwa, nilikuwa na swali muhimu kwenu wanachama lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. Swali lenyewe muhimu ni hili:- Je Taifa letu la Tanzania ni la kidini au sio la kidini ? Tafsiri nyepesi zaidi ya swali langu ni hii: Je taifa letu Tanzania ni la wale...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru kati ya CHADEMA na CCM, Hatma ya Taifa la Tanzania

    Wakuu, Leo kupitia hapa nitaendesha mjadala huru kabisa kati ya wapenzi, wakereketwa, na wanachama wa vyama viwili vikubwa vya siasa Tanzania CHADEMA na CCM. Tutaangalia hatma ya nchi yetu kwa kuangalia mitazamo mbalimbali kama; Ni nini Watanzania wafanye nchi iendelee na ipae kiuchumi? CCM...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania ni bandia

    Ndugu wananchi, elimu ya Tanzania ni fake. Vijana wanaenda shule kuitika majina, watu wanahitimu wanarudi mtaani wameharibika zaidi. Watizameni form four walorejea huko home/mtaani. Hitimisho Elimu ya Tanzania ni fake.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna sababu ya kulalamika njaa

    Rais Samia Suluhu anaendelea kututoa hofu watanzania katika suala zima la njaa alisema kuwa watanzania hatuna sababu yoyote ya kulia njaa. "Nataka niwahimize tulime kwa sababu miaka ijayo Dunia inaona hatari ya njaa, Tanzania hatuna sababu ya kulia njaa na ndiyo maana tunaweka miundombinu ya...
  17. I

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

    Mohamed Kawaida ameshinda Nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa ambapo Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa imechukuliwa na Bi Rehema Sombi Omary MATOKEO YA UCHAGUZI UVCCM ==========================
  18. JamiiForums Tanzania TAKUKURU hii Rushwa Kubwa na ya aibu katika Soka la Tanzania kwa sasa hamuioni au mnaifurahia ije Kutugharimu?

    Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania idadi ya watu imeongezeka lakini hali sio nzuri mkoa wa Kilimanjaro

    Ukienda mkoa wa Kilimanjaro utashangaa mambo yafuatayo haya matatizo hayako tu uchagani bali hata upareni yapo Idadi ndogo ya wanafunzi wanaoandikishwa darasa la kwanza, huku mikoa mingine wanafunzi wakiwa wengi na wengine wanakaa chini Hali ni tofauti mkoa wa Kilimanjaro idadi ya wanafunzi...
  20. JamiiForums Tanzania SINEMA FUPI: Kwa Tanzania kuna mwanamke anaweza kujitokeza na kumponya farasi kwa njia hii?

    Katika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona. Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…