tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  3. JamiiForums Tanzania Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

    Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania. 1. Edibily Lunyamila 2. Mohamed Hussein Mmachinga 3. Amir Maftah 4. Mrisho Ngasa 5. Mbwana Samatta 6. Haruna Moshi 7. Mohamed Mwameja 8. Boniface Pawasa 9. Victor Costa 10. Athuman Iddi Chuji
  4. JamiiForums Tanzania Kulikoni Tanzania ku-export zaidi kwenda Uarabuni kuanzia mwaka wa fedha 2021/22?

    Tangu mwaka 2017 tumekuwa tuki-export bidhaa zetu kwenda South Africa na India zaidi ambapo ilikuwa zaidi ya 10% ya exports zilienda katika nchi hizo. Huku nchi za falme za kiarabu zikipata chini ya 10. Kwa mwaka 2017 asilimia ya exports zilizoenda UAE zilikuwa 2.5 na mwaka 2018 ilikuwa 2.3...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup ipewe hadhi

    Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup. Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha. Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia amemuondoa Prof. Kennedy Gastorn Umoja wa Mataifa kwa kashfa za Rushwa na Ufisadi

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi. Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mimi ni mzalendo wa kudumu wa Tanzania naomba Raisi Samia ashughulike na hili

    Salama wandugu, Mimi mwanaccm na mzalendo wa kudumu wa taifa hili pia ni timu Magu Ila kwa yaliyotokea kwa wapinzani naomba radhi kwa niaba ya JPM. Hili lilikuwa linachoma moyo sana, naomba Raisi Samia ashughulikie hili kama anawajali wapinzani au nasema uwongo ndagu zangu.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini, leo Jumanne Januari 3, 2023. Mazungumzo haya yanafanyika Ikulu, Magogoni - Dar es Salaam. VIONGOZI WAWASILI Viongozi mbalimbali wa vyama wameshawasili ukumbini, wakiwemo...
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya Tanzania inakusanya kiasi gani kutoka Zanzibar?

    Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT; ”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa kwasababu mikopo tulikopa imechelewa ya kufanyia kazi hizi lakini mbili kuna mikopo iliyo ‘mature’ kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda inapenda kuipeleleza sana Tanzania

    Ndio Rwanda ni majirani zetu kama wanavyosema wao wanaongozwa na rais mwenye inteligensia kali Afrika nzima siwezi kulijibia hili kama ni kweli au la hasha. Utafiti wangu mdogo nahisi kati ya nchi zinazomnyima usingizi Rwanda ni Tanzania bila shaka nahisi rais wao anatumia nguvu kubwa sana...
  12. JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi: Wapinzani Tanzania wajivue gamba siasa wanazofanya haziakisi utashi wao kutatua matatizo yaliyopo

    Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba. Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je, nchi zinaanza kukimbilia dhahabu kama pesa? Tanzania tuna akiba kiasi gani cha dhahabu?

    Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
  15. JamiiForums Tanzania Nilichogundua, Tanzania hata atawale malaika bila akili za watu kufunguka hatuwezi endelea inavyotakiwa kamwe

    Leo nimekutana na Habari Mkuu wa Mkoa wa Dar kaenda na kamati yake ya Ulinzi na Usalama Wavuvi Kempu na kawapiga biti kuhusu clip iliyorushwa inayoonesha namna watu wanavyokula bata. Mbaya zaidi baada ya Amos Makala kuongea kaongea kiongozi mwingine sijui nani nae akapiga biti kuhusu club hiyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Samia, Tanzania yapaa Kimataifa vita dhidi ya Rushwa

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
  17. JamiiForums Tanzania Heri Tanzania iombe kibali haraka tuwe Jimbo jipya la Marekani

    Malalamiko yamezidi sana kuhusu ugumu wa uchumi, mikopo, na mdororo wa viongozi wenye akili mufilisi, kama ccm wanaogopa katiba mpya na mihadhara ya kisiasa, ni wakati mzuri tutumia fursa ya Utawala Biden tuombe kibali Cha kuungana na Marekani tuwe Jimbo jipya la Marekani, tuutumie uzoefu huu wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tanzania Institute Of Education (TIE) does the textbooks business in a "cocaine style". Is that the core job of the institute?

    Here you get Kiswahili version to start with followed by English version KISWAHILI VERSION TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII? Kwanza kabisa TET...
  19. JamiiForums Tanzania Majibu ya utafiti: Miaka 10 ijayo Tanzania itakuwa imesimama wapi?

    Rais Samia pamoja na marais waliomtangulia: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete MIAKA 10 ijayo, hadi kufikia mwaka 2033, Tanzania itakuwepo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa madarakani, huku idadi ya watu ikikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 75. Je, uchumi wake utaimarika na maisha ya watu...
  20. JamiiForums Tanzania Bongozozo anaitangaza vizuri Tanzania, Serikali fanyeni naye kazi kama siyo hatarishi

    Habari wana jf. Leo nataka niseme kuwa huyu bwana anaitwa bongozozo kuna jambo analifanya na linaonekana na mwelekeo mzuri. Katika video zake nyingi kila anapopata nafasi nzuri huwa anaitangaza sana nchi yetu na vivutio vyake kwa ustadi na weledi siyo ule UJINGA UJINGA wanafanyaga baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…