tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wafanyabishara kulalamika biashara mbaya kipindi cha pasaka kimenifanya nijue wa Tanzania sio wa'DINI mitaani km inavyoonekana mitandaoni

    Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Gabriel Geay wa Tanzania awa tishio mbio za Boston marathon 17 April 2023

    Boston, Marekani MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023 GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY ! Evans Chebet of Kenya wins back-to-back Boston Marathons, this time in 2 hours 5 minutes 54 seconds...
  3. JamiiForums Tanzania Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

    Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa. Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu! Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  6. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hofu yatanda Ligi Kuu

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea miujiza kutoka kwa wapinzani wao ili kuepuka kushuka daraja. Pengo la pointi baina yao na timu zilizo...
  7. JamiiForums Tanzania Member of Parliament Luhaga Mpina, Your Dream of Being a Famous MP in Tanzania has Come True: Nenda zaidi

    Today, if you are asked to name a famous MP in Tanzania who builds logical arguments, you will not fail to mention MP Mpina. He has shuffled his cards well and used his position effectively in this period, and did not choose to sit on the side of honey-lickers. He has decided to stand with the...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yasema Tanzania ina Diaspora Milioni 1.5

    Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023 SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5 Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za #Tanzania zilizopo nje ya Nchi Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  9. JamiiForums Tanzania Haja ya Ripoti ya CAG kuchunguza Mitaala ya Kozi za Vyuo vya Tanzania

    Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri wa Namna ya Kuanzisha Taasisi Binafsi ya Upelelezi Nchini Tanzania

    Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa. Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Mining Cadastre Portal mtandao huo umezimwa sasa ni miezi 4 haufanyi kazi

    Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa. Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa. Waziri...
  12. JamiiForums Tanzania Nani anawavalisha Viongozi/Marais wa Tanzania? Hawavai kizalendo

    Salaam Wakuu, Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli. Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda? Chemsha bongo. Unahisi Kiatu cha aliyekuwa rais wa Tanzania Magufuli ni Kipi? picha ya kushoto au Kulia?
  13. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ambayo Marekani na Tanzania zinafanana kwa sasa. Soma uyajue

    Wakuu vipi, kwema. Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo. 1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani: Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka...
  14. JamiiForums Tanzania Je TCRA au Mamlaka ya Tanzania wanaweza kusoma meseji za Whatsapp? Au zile za kawaida kwenye iPhone?

    Great Thinkers, Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone? Asanteni.
  15. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaweza kukataza chochote Tanzania?

    Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania? Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango pori wakati hana amri yoyote isipokuwa labda kiheshima tu.
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Australia iliyofutiwa leseni yatishia kukamata ndege ya Tanzania

    Kampuni ya Indiana Resources ya Australia imetishia kuikamata ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Uwekezaji (ICSID) Nchini Marekani Kampuni hiyo imeishtak Tanzania baada ya kutaifisha leseni ya uchimbaji...
  17. JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi wasio na elimu ndicho chanzo cha umasikini Tanzania

    Wabunge Madiwani Wenyeviti serikali za mitaa Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo. Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa. Madiwani kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Nabii hakubaliki kwao? Raia wa Afrika Kusini wataka Jeshi la Polisi Tanzania kwenda kuzuia uhalifu nchini kwao

    Moja ya changamoto kubwa sana tuliyokuwa nayo Tanzania, ni kuona kila kitu tulichokuwa nacho hakifai. Wakati nchini Tanzania hadi tume ya kupitia mfumo wa Haki Jinai ikiwa imeundwa na tayari ipo kazini, raia wa Afrika Kusini wameonyeshwa kuvutiwa sana na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi la...
  19. JamiiForums Tanzania Degree ya Insurance Tanzania

    Wadau nasalimia kwa jina la Aliyeko juu ya kila kitu na kila jambo. Naomba ushaur naipataje degree ya masuala ya Bima nikiwa dar. Hasa kwa njia ya non full time studies! Ili nisiathiri utafutaji wa from hand to mouth. [Kwa maana licha ya kuwa na Nida ya utaifa sijapewa mgawo wowote kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kwenye East Africa Community tumefikia wapi?

    1. Ni Nini tunaposema custom union? 2. Ni nini tunaposema monetary union 3. Common market je? 4. Federation je?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…