Cheche za maneno, mirengo mipya ya kisiasa na ubabe wa vyama tayari imeanza kusheheni nchini Kenya, miezi 14 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Miongoni mwa viongozi wanaogonga vichwa vya habari ni pamoja na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua aliyetimuliwa kazini miezi kadhaa...