tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania SGR kuvuka mipaka: Mawaziri wa Tanzania, Rwanda na DRC wakutana kuweka mustakabali mpya kiuchumi

    https://youtu.be/03vJQKnKpZ4
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  3. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi Gesi asilia inayozalishwa nchini Tanzania inatusaidia Nini?

    Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically) Je kwanini serikali haichukulii ongezeko la bei ya mafuta kama jambo la dharula na ikatafutwa njia ya haraka ya kudhibiti...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Diamond anaulizwa Sports Arena itajengwa lini Tanzania???

    Nafikiri suala hili amuulize G. Msigwa ndiyo Katibu Mkuu mwenye Dhamana ya viwanja vya michezo Tanzania, anaweza jua Bajeti ya Bilioni ngapi imetengwa, au Mkataba wa Bilioni ngapi umesainiwa na katika huo Mkataba ni ngapi zimeongezewa pasipo Mkataba.
  5. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania 🚨 CC: Mwenyekiti, Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.

    -3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ? -Whats the plan tupate ripoti yetu ? -Inawezekana ripoti iwasilishwe alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me. Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
  6. R

    JamiiForums Tanzania Asilimia 61 ya Pombe zinazonywewa Tanzania ni haramu

    Biashara haramu ya pombe ina athari nyingi na za kina, ikiathiri uchumi wa Tanzania, uwekezaji, na pia kuhatarisha afya ya jamii kwa kiwango kikubwa. Akifanya Mahojiano na Mwananchi, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL), Michelle Kilpin, alitoa tathmini yake kuhusu hali ya...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Namna ya kupenyeza agenda yako nchi za Afrika kama Tanzania

  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yahimiza Matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) Kuimarisha Mtangamano na Maendeleo EAC

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) ikiwa ni moja ya nyenzo muhimu na ya kisasa katika kukuza mtangamano na kuharakisha maendeleo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupitia sekta mbalimbali ikiwemo Kilimo, Elimu, Viwanda, Afya na...
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Miundombinu Tanzania bado sana

    Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na Mbeya, barabara ni changamoto. Mji unaokua kwa kasi kama Kahama bado uko nyuma kwenye barabara. Dar...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile kila kukicha sheria zaidi zinatungwa kuwabana wananchi wa Tanzania, hadi nchi inakera sasa

    Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Air Tanzania HQ ihamishiwe Airport (JNIA)

    Ili kuboresha huduma na kupunguza gharama za uendeshaji inafaa makao makuu ya Air Tanzamia kupelekwa kwenye hub yao (JNIA). Haya mambo ya kuzungushana na ma-VX kati ya Airport-Mjini-Dodoma inaongeza gharama. Jengo la.makao makuu ya sasa (lipigwe mnada au kukodishwa). Kenya Airways, Rwandair...
  12. M

    JamiiForums Tanzania William E. Trachman nominated to serve as the U.S. Ambassador to the United Republic of Tanzania

    William E. Trachman is a Colorado-based attorney and legal scholar who has been nominated by President Trump to serve as U.S. Ambassador to Tanzania. Prior to this nomination, Trachman established a significant legal career focused on constitutional law, civil rights, and education policy...
  13. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania MO29 TV ni game changer ya habari Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29. Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV. Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa CCM. Je MO29 TV ni ya nani? Na itaweza ku- survive bila kufungiwa. Let wait and see. Mto wa mbu...
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Tanzania ambazo hazitakuja kutatuliwa kamwe

    1. Shida ya maji 2. Mafuriko wakati wa mvua 3. Changamoto ya Ajira 4. Mpangomji mbovu na Ujenzi holela 5. Uongozi mbovu 6. Foleni Dar es Salaam 7. Ukosefu wa demokrasia
  15. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara, Kampuni za Tanzania zitumie mfumo wa lead generation and cold Outreach kuongeza sales?

    Nimekuwa nikifanya kazi na kampuni za kimataifa kutoka UK, Europe, Canada, na nchi nyingine As an independent freelancer - na moja ya siri kubwa ya ukuaji wao ni mfumo wa lead generation, cold calling na cold outreach. Hii strategy inawawezesha kuongeza client base yao kwa kiwango kikubwa na kwa...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tungeanza kufanya slums upgrade maeneo ya uswazi Tanzania

    Just my thoughts Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi ya wakulima na wafanyakazi?

    Kila nikiisoma Katiba ya nchi yetu kuwa misingi ya uchumi wa nchi yetu ni ya kijamaa na nchi hii mifumo yake inadhibitiwa na wakulima na wafanyakazi, huwa nashangazwa kabisa. Hivi ni kweli kuwa nchi yetu inaendeshwa kijamaa na wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya mwisho...
  18. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Wanawake Wazuri na Warembo. Nimethibitisha

    Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni mmeisikia salamu. Ngoja nitembelee moja kwa moja kwenye mada km ilivyo ada km ambavyo kichwa cha mada...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ninamuamini Sana Rais Samia na naamini Tanzania Itapiga Hatua Kubwa Sana za Kimaendeleo Awamu Hii

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninamuamini na kumkubali sana Rais Samia . Ni kiongozi Ambaye naamini ni mtu sahihi kuendelea kuliongoza Taifa letu. Nina Mwamini kuliko Mtu mwingine yeyote yule. Sina wasiwasi wa aina yoyote ile na Rais Samia. Hadi Natamani aendelee kuongoza Mpaka Achoke...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania to introduce twice-yearly HIV injection, phase out standalone CTC clinics

    The introduction of the injectable drug Lenacapavir, alongside major reforms in the health service delivery system, marks a new phase in Tanzania's fight against HIV, with the government also planning to phase out specialised Care and Treatment Clinics (CTCs) to reduce stigma and improve access...
Back
Top Bottom