tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wanaongoza kwa utegemezi Tanzania

    Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua wanawake kiuchumi nchini, ripoti mpya ya Wizara ya Fedha inaonyesha jinsia hiyo bado inaongoza kwa utegemezi. Ripoti hiyo inayohusisha ujumuishi wa masuala ya kifedha kwa wananchi inayoitwa Finscope 2023...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Tathimini ya taratibu za uendeshaji wa shughuli za biashara nchini Tanzania

    Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
  4. JamiiForums Tanzania Assistant Finance Manager at BRAC

    Position: Assistant Finance Manager Location: Country Office Dar es Salaam Job Responsibilities 1. To supervise all Divisional Accounts Managers/Regional Accounts Manager Activities and ensure strong controls on cash, inventory, and other assets. 2. To provide necessary assistance and direction...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Mkataba wa Bandari ni wa Kijambazi na Uvamizi dhidi ya Tanzania

    Wakili Boniface Mwabukusi amesema wao kama Wanasheria hawatoruhusu Mikataba ya Kijinga, Wizi, Ufisadi na isiyo ya Kizalendo ikiwemo kuwepo Viongozi ambao wanatoka waziwazi na kushangilia Wizi na kuongeza kuwa Mkataba wa Ushirikiano wa Dubai na Tanzania ni wa Kijambazi. Amewambia Mawaziri Nape...
  6. JamiiForums Tanzania Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania laipongeza Serikali kwa kuondoa tozo ya kutuma miamala ya fedha kidijitali

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na hatua za kundoa tozo kwenye huduma ya kutuma miamala ya fedha kidijitali. Kuondolewa kwa too hil...
  7. JamiiForums Tanzania Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mkataba kati ya nchi na nchi (IGA) kusainiwa na Mkurugenzi wa Bandari?

    Bado naendelea kujiuliza, Wanasheria wetu walilala au shinikizo la Rais lilikuwa kubwa kiasi hawakutana hata kufanya kazi kwa makini? Nimepitia ule mkataba wa IGA kati yetu Tanzania na Serikali ya Dubai (kama wanavyodai) kiukweli sijaona sehemu yeyote Serikali ya Dubai hakuna mahala imesaini...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania imewakosea nini viongozi wake?

    Tanzania ni mojawapo ya nchi nzuri na ya kuvutia duniani. Inazo raslimali za aina mbalimbali na zingine ambazo huwezi kuzikuta sehemu nyingine duniani. Kwa ufupi, Tanzania ni moja kati ya nchi tajiri sana duniani, japo watu wake wengi ni maskini wa kutupwa. Umaskini wa Watanzania umechagizwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hitimisho: Mkataba wa Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia DP World tumeukataa!

    Watanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu. Tumeuzungumza makataba...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Sheria: Misingi, Changamoto na Utekelezaji Wake Nchini Tanzania

    UTAWALA WA SHERIA: MISINGI, CHANGAMOTO NA UTEKELEZAJI WAKE NCHINI TANZANIA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Utawala wa sheria ni dhana muhimu katika jamii yoyote inayotaka kuendelea na kuwa na amani. Utawala wa sheria unamaanisha kuwa kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria, kanuni na...
  13. JamiiForums Tanzania Volunteer Coordinator at Expert Consultancy Ltd

    Position: Volunteer Coordinator Location: Arusha Salary: 250,000-300,000 Gross salary Start date: ASAP Duties and Responsibilities Source and recruit volunteers through various techniques (databases, e-mail, social media etc.) Collect information on availabilities and skills Arrange for...
  14. JamiiForums Tanzania Internal Auditor at Tigo (2 positions)

    Position: Internal Auditor (2 positions) HOW TO APPLY If you are interested in applying for either of these positions, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Head of Internal Audit). Attach your updated CV (in PDF...
  15. JamiiForums Tanzania Tuisheni ya Kitabibu.Madaktari wa Serikali Tanzania Wameruhisiwa kufanya kazi binafsi ndani ya Hospitali za Serikali?

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu; Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX. Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zinaongoza kwa Kodi kubwa kwenye Mafuta Afrika Mashariki

    Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini. Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
  18. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane hakuna anayependa kubaki Tanzania Pre Season, ukweli ni kwamba hatuna Pesa

    Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa na Watu 9,649,925 mwaka 1964 kabla ya Muungano

    Wakati Tanzania Bara na Zanzibar zikiungana mwaka 1964, Tanzania ilikadiriwa kuwa na idadi ya watu 9,649,925, kati ya watu hao, wanaume walikuwa 4,432,599 na wanawake walikuwa 5,217,326 sawa na asilimia 46 kwa 54 mtawalia. Aidha, idadi ya watu kwa Tanganyika ilikuwa 9,354,560 wanaume wakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Automotive Senior Sales Manager at Expert Consultancy Ltd

    Position: Automotive Senior Sales Manager Category: Sales and Marketing Location: Arusha Salary: Negotiable Start date: ASAP Description On behalf of our client in Arusha, that provides best quality services on Automobile spares, we are looking for an experienced and successful sales manager to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…