tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yashika nafasi ya 17 kwa nchi zenye amani Afrika

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) ya mwaka 2023 toleo la 17 imetoa takwimu ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 17 kwa amani na kushika nafasi ya 91 kidunia. IEP imesema Tanzania imeshika nafasi hiyo kwa kupata alama...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Tanzania wafikia watano

    Habari za leo wana JF! Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya kupungua. Kutoka maadui watatu hadi maadui watano. Bahati mbaya zaidi wajinga wa sasa ni wale...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Iweje Usuluhishi wa matatizo ya mikataba na Uwekezaji isikilizwe nje nasio Mahakama Tanzania

    Hili swala la DEE PEEE Weldi na Jamhuri limeleta fursa ya tafakuri jadidifu. Iweje kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania. Tunakumbuka mhe Rais Mwenye alinukuliwa kusema...
  5. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

    Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
  6. JamiiForums Tanzania KWELI UKIMWI uliingia Tanzania kupitia mkoa wa Kagera

    Nianze kwa ku-declare interest kuwa mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera Wilaya ya Missenyi. Katika makuzi yangu hasa baada ya kutoka nje ya mipaka ya mkoa wa Kagera, nimekuwa nikishambuliwa na kutaniwa sana kuhusu UKIMWI kuanzia mkoa wa Kagera. Hayati Rais Magufuli kwa nyakati tofauti amewahi...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoelimika sana Afrika; Tanzania tuko wapi?

    Nimeangalia video hii kuhusu nchi zilzoelimika sana Afrika na kugundua kwa nini Tanzania inapata mikataba mobovu miaka nenda rudi na kuishia kukamatwa ndege zake kama swala wanavyokamatwa na chui. Hata kama video imeskewa data, ukweli ni kuwa elimu ya Tanzania sasa hivi ni dhaifu sana. Wakati...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Uongozi, Viongozi na Mwendo wa Siasa Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya Tanzania. Ukosefu wa uwajibikaji na utawala bora umesababisha matatizo kadhaa katika nchi, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, na ukosefu wa haki. Ufisadi ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Ufisadi umesababisha...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora Ni Muhimu kwa Maendeleo ya Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania. Bila uwajibikaji na utawala bora, ni vigumu kwa nchi kufikia malengo yake ya maendeleo. Uwajibikaji ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako. Utawala bora ni mfumo wa utawala ambao unazingatia kanuni za uwazi, uwajibikaji, na...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Madini nchini Tanzania

    Sekta ya madini nchini Tanzania ni moja ya sekta muhimu zaidi za uchumi. Sekta hii inachangia takriban asilimia 10 ya pato la taifa na inatoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, sekta ya madini pia imekuwa ikikabiliwa na matatizo kadhaa, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwajibikaji na...
  11. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa kwa kuongelea ‘malengo’ ya ubinafsishaji wa bandari za Tanzania

    I. Utangulizi Tumefurahi kumsikia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, akiongelea uzuri wa malengo ya uwekezaji katika Bandari za Tanzania. Lakini Mhe. Bashungwa anapinga mtazamo kwamba mkataba wa Tanzania na Dubai unaongelea ubianafsishaji wa bandari. Mara ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani?

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
  13. JamiiForums Tanzania Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

    Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same. Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchumi wa Buluu Uimarishwe ili Kuboresha Uchumi na Ajira kwa Vijana Tanzania

    Utangulizi Uchumi wa Buluu ni nini? Kwa mujibu wa Benki ya Dunia (“World Bank”), Uchumi wa Buluu ni “Matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kuboresha shughuli za kujipati kipato, na ajira, huku afya ya mfumo wa ikolojia ukihifadhiwa”. Kwa mujibu wa Kamisheni ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Visit Tanzania- Wanasimba hatutaki tena huo ujinga

    Viongozi wa Simba kama mnakua na mambo yenu binafsi ya kujipendekeza, basi ingieni kwenye Siasa. Msilete Uchawa wa kijingajinga kwenye timu yetu. Msimu uliopita mlijifanya Wazalendo sana mkaacha kumtafuta wadhamini kimataifa Bali mkataka kuonekana wazalendo uchwara. Mkaandika Visit Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Bad news to PM Majaliwa and VP Mpango; The Tanzania-Dubai Treaty is covertly open-ended for facilitating ‘Arab settler colonialism’ in Tanzania

    1. Introduction Dear Phillip Mpango, The Vice President of the United Republic of Tanzania: Dear Kassim Majaliwa, The Prime Minister of the United Republic of Tanzania: On 15 July 2023 the Minister of Works, Transport and Communications, Professor Makame Mnyaa Mbarawa, and his technical team...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
  20. JamiiForums Tanzania Treni yenye Watalii 60 yatoka Afrika Kusini hadi Tanzania

    TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini. Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…